Faida ya kupata mpenzi mtandaoni

Faida ya kupata mpenzi mtandaoni

Kwani hao wa mtaani si ndo hao hao wapo mtandaoni! Unaweza ukakutana nae kanisani na akakukula na kukuacha na hivo hivo unaweza ukakutana nae mtandaoni na mkaoana.
 
Ukiwa unatafuta mtu wa mahusiano mtandaoni kwanza kabisa usitangaze ya kuwa unatafuta, hili ni kosa ambalo wengi hulifanya.

Binafsi hata sasa nikiamua kutafuta mtu napata.
Bas wale wanaotangaza wanataka mke wanakua wanafanya mistake bila wao kujua
 
Moyo una mangeu mzee hata ukipata mtu sahihi iwe offline au online unahis ni wale wale
Usiishi kwa matukio utashindwa kuinjoy maisha. Unapoweka nukta na mtu endelea na mwingine na umfurahie kwa sababu sio yeye aliekujeruhi, muoneshe upendo mpaka atakapochoka yeye ila usisahau kutumia akili.
 
Back
Top Bottom