Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Haya hata mtaani yapo pia ni kuwa makini tu.Wana kheri walibahatika kupata serious relationship through jf.....humu siyo mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya hata mtaani yapo pia ni kuwa makini tu.Wana kheri walibahatika kupata serious relationship through jf.....humu siyo mkuu
Yeah sureHaya hata mtaani yapo pia ni kuwa makini tu.
Ndio hvyo maana wote humu tunaishi mtaaniYeah sure
Yes,Sasa ni Bora kutapeliwa pesa utatafuta nyingine,lakini kutapeliwa muda ni hatari kwa sababu muda haurudi nyuma,ukishaenda umeenda,so mkimbie sana anayekupotezea mudaMara nyingi wanawake wanatapeliwa muda wao na siyo pesa
Ni kweli ila daahNdio hvyo maana wote humu tunaishi mtaani
Ila nini mama To yeyeNi kweli ila daah
Pole wasiwasi ndio akiliMi sina imani nayo Kabisa maana nimepitia sana mkuu
Bas wale wanaotangaza wanataka mke wanakua wanafanya mistake bila wao kujuaUkiwa unatafuta mtu wa mahusiano mtandaoni kwanza kabisa usitangaze ya kuwa unatafuta, hili ni kosa ambalo wengi hulifanya.
Binafsi hata sasa nikiamua kutafuta mtu napata.
ni kosa kubwa kwasababu hata wenye nia ovu wanapita humo humo. Ukishindwa kutafuta mpenzi huko kwenye mitandao mingine ya kijamii ni ngumu sana kupata humu jf.Bas wale wanaotangaza wanataka mke wanakua wanafanya mistake bila wao kujua
Neno la siku!Ukishindwa kutafuta mpenzi huko kwenye mitandao mingine ya kijamii ni ngumu sana kupata humu jf.
Acha kutishia nyau Watu wewe, kuna faida gani Watu wakifa na mautamu yao?VIJANA ACHENI PUNYETO, KATAA NDOA LINDA MAISHA YAKO.
Inawezekana ila ni ngumu sana. Huko fb ukitaka ni wewe tu unaweka filter ya kupata mkoa unaotaka, utaanzia apo. Kwenye groups ndio usiseme mnakwama wapiNeno la siku!
Moyo una mangeu mzee hata ukipata mtu sahihi iwe offline au online unahis ni wale waleInawezekana ila ni ngumu sana. Huko fb ukitaka ni wewe tu unaweka filter ya kupata mkoa unaotaka, utaanzia apo. Kwenye groups ndio usiseme mnakwama wapi
Usiishi kwa matukio utashindwa kuinjoy maisha. Unapoweka nukta na mtu endelea na mwingine na umfurahie kwa sababu sio yeye aliekujeruhi, muoneshe upendo mpaka atakapochoka yeye ila usisahau kutumia akili.Moyo una mangeu mzee hata ukipata mtu sahihi iwe offline au online unahis ni wale wale