Jerrymsigwa
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 14,084
- 8,384
Dar muna James delicious
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio maana Mkapa anaita wapumbavuwakuu Leo nawaletea faida za kuishi dar mtaongezea za kwenu pia [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Faida ya Kuwa Dar-es-salaam
Rais anaapishwa Dar
Ikulu ipo Dar
Magorofa marefu yapo Dar
Magari ya Mwendokasi yapo Dar
Tren za Mwakyembe zipo Dar
Yanga ipo Dar
Simba ipo Dar
Azam ipo Dar
Bahari ya Hindi ipo Dar
Hospital ya Hindi Taifa ipo Dar
Coco Beach ipo Dar
TV zote kubwa zipo Dar
Radio zote kubwa zipo Dar
Kombe la Dunia liliishia Dar
Mtaa wa Rooney upo Dar
Uwanja wa Kimataifa wa Mwl
Nyerere upo Dar
Uwanja Taifa upo Dar
Uwaja wa Uhulu upo Dar
Ukumbi mkubwa wa Dar Live upo Dar
Wasanii wote wakubwa wapo Dar
*Daraja zuri na lakuvutia la Mwl
Nyerere lipo Dar*
Singeli zipo Dar
Vigodoro vipo Dar
Ndondo Cup ipo Dar
Aliyemkumbatia Rooney yupo Dar
Aliyemkumbatia Kaka wa Brazil yupo
Dar
Michael Jackson aliishia Dar
Obama aliishia Dar
Makilikili yaliishia Dar
Endeleeni kukaa huko huko Mikoani
mkitoa funza Miguuuni
, *Vitu vizuri tunaanza kula sisi
kisha makombo yanapelekwa
Mkoani*
Kama nawaona vile mnataka
kutokwa povu"!! Hahahahaa
Usisahau na bashite yupo dar[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
the great
Wanaume wasio na nguvu wapo dar....wakuu Leo nawaletea faida za kuishi dar mtaongezea za kwenu pia [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Faida ya Kuwa Dar-es-salaam
Rais anaapishwa Dar
Ikulu ipo Dar
Magorofa marefu yapo Dar
Magari ya Mwendokasi yapo Dar
Tren za Mwakyembe zipo Dar
Yanga ipo Dar
Simba ipo Dar
Azam ipo Dar
Bahari ya Hindi ipo Dar
Hospital ya Hindi Taifa ipo Dar
Coco Beach ipo Dar
TV zote kubwa zipo Dar
Radio zote kubwa zipo Dar
Kombe la Dunia liliishia Dar
Mtaa wa Rooney upo Dar
Uwanja wa Kimataifa wa Mwl
Nyerere upo Dar
Uwanja Taifa upo Dar
Uwaja wa Uhulu upo Dar
Ukumbi mkubwa wa Dar Live upo Dar
Wasanii wote wakubwa wapo Dar
*Daraja zuri na lakuvutia la Mwl
Nyerere lipo Dar*
Singeli zipo Dar
Vigodoro vipo Dar
Ndondo Cup ipo Dar
Aliyemkumbatia Rooney yupo Dar
Aliyemkumbatia Kaka wa Brazil yupo
Dar
Michael Jackson aliishia Dar
Obama aliishia Dar
Makilikili yaliishia Dar
Endeleeni kukaa huko huko Mikoani
mkitoa funza Miguuuni
, *Vitu vizuri tunaanza kula sisi
kisha makombo yanapelekwa
Mkoani*
Kama nawaona vile mnataka
kutokwa povu"!! Hahahahaa
Usisahau na bashite yupo dar[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
the great
Kati ya hivyo vyote faida yako ni nini?wakuu Leo nawaletea faida za kuishi dar mtaongezea za kwenu pia [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Faida ya Kuwa Dar-es-salaam
Rais anaapishwa Dar
Ikulu ipo Dar
Magorofa marefu yapo Dar
Magari ya Mwendokasi yapo Dar
Tren za Mwakyembe zipo Dar
Yanga ipo Dar
Simba ipo Dar
Azam ipo Dar
Bahari ya Hindi ipo Dar
Hospital ya Hindi Taifa ipo Dar
Coco Beach ipo Dar
TV zote kubwa zipo Dar
Radio zote kubwa zipo Dar
Kombe la Dunia liliishia Dar
Mtaa wa Rooney upo Dar
Uwanja wa Kimataifa wa Mwl
Nyerere upo Dar
Uwanja Taifa upo Dar
Uwaja wa Uhulu upo Dar
Ukumbi mkubwa wa Dar Live upo Dar
Wasanii wote wakubwa wapo Dar
*Daraja zuri na lakuvutia la Mwl
Nyerere lipo Dar*
Singeli zipo Dar
Vigodoro vipo Dar
Ndondo Cup ipo Dar
Aliyemkumbatia Rooney yupo Dar
Aliyemkumbatia Kaka wa Brazil yupo
Dar
Michael Jackson aliishia Dar
Obama aliishia Dar
Makilikili yaliishia Dar
Endeleeni kukaa huko huko Mikoani
mkitoa funza Miguuuni
, *Vitu vizuri tunaanza kula sisi
kisha makombo yanapelekwa
Mkoani*
Kama nawaona vile mnataka
kutokwa povu"!! Hahahahaa
Usisahau na bashite yupo dar[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
the great
Mkuu JF ipo darHata mwanza tunao
Sie twala kamongo
the great
Pweza wapo ni dawa toshaHata wenye upungufu wa mambo yetu yale 63% wapo Dar.
Wakimbia panya road pia wapo Dar.
Mbaya zaidi mashoga wengi pia wapo pande hizo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi vikiwepo vinakuwa na positive impact kwa wakaajiHujataja faida za kuishi Dar, (kama kichwa cha habari kilivyo). Hivi ni vitu vilivyopo Dar ! Vya nini hivi, ktk maisha yakawaida, ya kila siku?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahaha hahahaha usinivunje mbavu basiUmesahau kuandika kuwa mnapata faida ya kula mahindi ya kuchoma kwa ndimu na pilipili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahaha hahahaha usinivunje mbavu basi
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Uwepo wa hivyo vitu hapa town unapunguza nguvu za kiume