Faida ya kuwa Mkristo tajiri mwenye pesa nyingi siku za mwisho

matunduizi

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2018
Posts
7,968
Reaction score
19,368
Yesu alipokufa liliandaliwa dau kupotosha kuwa hajafa. Shughuli hii iliratibiwa kwa ukaribu na Usalama wa Taifa wa Herode, Viongozi wa kidini na machawa wa kaisali.

Pesa ilitumika kumuhafifisha Yesu, Hata leo trillions zimetengwa kumuhafifisha ionekane ni nadharia.

Hii ni fursa kwetu sisi Wakristo kufanya kazi kwa Bidii na kuthubutu mambo makubwa ya kiuchumi ili utumike kumsema Yesu anayepotoshwa na watu wengi.

Kumbuka Kuna mambo yanahitaji kufunga na kuomba. Na kuna mambo yanahitaji Pesa. Yesu alipokufa wanamaombi wenzake wakina Petro, Yoha a na Yakobo walikimbia. Tajiri Mkristo Yusuph ndiye aliyeenda kuomba mwili wa Yesu auzike. Maana ilitabiriwa atazikwa na matajiri.

Pesa sio dhambi, ni kama kisu, unaweza kuulia mtu pia kuchinjia kuku upate kitoweo.

Usipotumia pesa kumuhafifisha ibirisi yeye atatumia kukuhafifisha.

Ni hilo.
 
Pesa ni chanzo cha maovu mengi sana
 
Pesa ni chanzo cha maovu mengi sana
Sio Pesa, Kupenda pesa. Pesa ni neutral.
Ndio maana Mungu ni Decillionaire na sio Muovu.
1 timotheo 6:10
Kwa maana kupenda sana fedha ni chanzo cha uovu wote.
 
Back
Top Bottom