cai
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 1,351
- 1,330
Kivipi? wajinga wengine hawa hapaNyie ndio mlikuwa mnasababisha bei ya umeme inakuwa kubwa.....Nyambafu zenu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kivipi? wajinga wengine hawa hapaNyie ndio mlikuwa mnasababisha bei ya umeme inakuwa kubwa.....Nyambafu zenu.
Watu waliokuwa wanaidharau biashara ya ukahaba wataanza kuamini sasa kuwa ni bora ufungue genge la makahaba upate hela nzuri kuliko huo ujinga wa lundo la kodiKatika hili ajira za watu zitapungua mnoo. Maana 0.5%= 0.005 sasa mfano umeme wa laki itakuwa 0.005×100,000=500
Kwa hiyo wakala akiuza umeme wa laki kamisheni ni 'jero'.
Fikiria hao wanaofanya kazi ya kuuza hizo mashine watawashawishi vp watu wakubali kununua. Na hapo inamaana automatically faida katika makampuni hayo(maxcom & selcom) itapungua kwa kasi vp kuhusu waajairiwa ni kupigwa panga tu hamna namna nyingine.
Huyo wakala aliyekulipia Faini alikua ni WAKALA wa Bank kati ya CRDB au NMB..angalia kikaratasi chako cha faini ulichopewa na Traffic kwa chini kina maelezo Jinsi ya kulipia na wapi uende kulipia..Hamna mahali wamekuandikia kalipie kwa wakala wa SELCOM au Maxmalipo...Hamna FAINI ya Chombo chochote inayolipiwa na SELCOM AU MAXMALIPO..Ulilipiwa kwa wakala wa CRDB au NMB mkuuu..kama huamini rudi kamuulize alokulipia katumia mashine gani kukulipia hiyo FAINI.Mkuu em weka kumbu kumbu zako sahihi, mimi Ijumaa ya tarehe 30/3/2018 nimelipa faini ya makosa barabarani kwa wakala Nakiete Pharmacy pale, na ilikuwa successful. Au hiyo unayoizungumzia imeanza lini mkuu.
Ni kweli mkuu, kikaratasi ni cha NMB, ulikuwa sahihi, sorry for the inconvenience.Huyo wakala aliyekulipia Faini alikua ni WAKALA wa Bank kati ya CRDB au NMB..angalia kikaratasi chako cha faini ulichopewa na Traffic kwa chini kina maelezo Jinsi ya kulipia na wapi uende kulipia..Hamna mahali wamekuandikia kalipie kwa wakala wa SELCOM au Maxmalipo...Hamna FAINI ya Chombo chochote inayolipiwa na SELCOM AU MAXMALIPO..Ulilipiwa kwa wakala wa CRDB au NMB mkuuu..kama huamini rudi kamuulize alokulipia katumia mashine gani kukulipia hiyo FAINI.
ewe dojo?!yyyeee babaaaa.na bado...wakati huo tulipokuwa tunasema bora kumpa kura mgonjwa mlitukebehi sana ach la tuisome number woteee
nani alaumiwe?Tatizo ni TANESCOOO! Zamani mawakala walikuwa wanapata 5% commission from TANESCO, so mlikuwa mnagawana nao pasu kwa pasu. Sasa hivi TANESCO wamepunguza commission from 5% to 3% kwenye mkataba mpya...