Faida ya mauzo ya luku kwa mawakala kutoka 2.5 hadi 0.5

Faida ya mauzo ya luku kwa mawakala kutoka 2.5 hadi 0.5

Asee kama tanesco walete sasa mashine zao wagawe kwa mawakala ili wananue umeme moja kwa moja tanesco wa waongeze kamisheni kwa mawakala wa kuwauzia umeme mamaana hakutakuwa na middle man yaani selcom pia tanesco wakumbuke kuna baadhi ya maeneo wamesambaza umeme wa rea vijijini hukuna office zao huko kwa sasa tanesco pekee haiwez kuwalisha wateja peke watashidwa mapema mno
 
  • Thanks
Reactions: Cyb
Nakumbuka ile kauli ya mzalendo wa kwanza Tanzania." Akimaliza kwetu ataamia kwenu" kila mtu ataguswa kwa utawala huu wa kipuuzi. Ni vijana wangapi watapoteza ajira hapa, 0.5 kutoka 2.5 si bora kutembeza mchicha. Kama bado ujasoma namba wakati unakuja usicheke
 
Mkuu em weka kumbu kumbu zako sahihi, mimi Ijumaa ya tarehe 30/3/2018 nimelipa faini ya makosa barabarani kwa wakala Nakiete Pharmacy pale, na ilikuwa successful. Au hiyo unayoizungumzia imeanza lini mkuu.
 
bongo figisu nyingi sana...kila unapotaka kujikwamua lazima kuna kikwazo utawekewa,oneni jinsi mkulima anavyohangaika nchi hii
 
Ina nikubusha misululu mirefu enzi zile kwenye Ofisi za Tanesco wakati wa kulipa bili za umeme kila mwisho wa mwezi
 
Nyie ndio mlikuwa mnasababisha bei ya umeme inakuwa kubwa.....Nyambafu zenu.
 
Sserikali makini inasifika kwa kutatua changamoto na matatizo ya wananchi, serikali dhalimu hufahamika kwa kuwaongezea changamoto na matatizo wananchi wake.....na hapo ndipo inapoonekana tofauti kati ya Kiongozi na Mtawala.......
 
Tatizo ni TANESCOOO! Zamani mawakala walikuwa wanapata 5% commission from TANESCO, so mlikuwa mnagawana nao pasu kwa pasu. Sasa hivi TANESCO wamepunguza commission from 5% to 3% kwenye mkataba mpya...
 
Katika hili ki ukweli sioni hata faida ya Haya ma mashine ya SELCOM na MAXMALIPO maana mawakala wote hapa walikua wanategemea kwa 80% faida ya kamisheni kutoka kwenye Mauzo ya luku.

Leo hii unaniambia eti kwenye 100,000 ya mauzo ya luku Faida nitayopata ni 1000 Khaaaaaaaaaaaaa..hadi kinyaaa Laki moja yangu nikiuza karanga si napata mara 4 na zaidi ya hiyo Faida?? 🙁🙁🙁🙁🙁

Yani serikali ilianza kama utani ikafuta FAINI ZA TRAFFIC kwa mawakala saivi ukipigwa faini lazima uende bank au ulipie mwenyewe kwenye simu ila sio kwa SELCOM wala MAXMALIPO,watu wametulia tu saivi tena wamehamia kwenye LUKU aseeee kwa mwendo Huuuu haya Ma mashine ni UOZO.😡😡😡😡😡

Yani faida ya LUKU ni sawa na Ku recharge mwendokasi?? sasa serikali kama hamtaki WATU WAHUDUMIWE fanyeni bhasi huduma zote wenyewe.😎😎😎😎

Kama tangazo lae wanavyodai kuanzia Tarehe 02 kamisheni ya LUKU itakua 0.5 na Mawakala tunaseMA kUANZIA Tarehe 02 umeme watu wakanunue TANESCO...shEnziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii😉😉😉😉😉😉😉😉😉😉😉😉😉😉😉

Kama mlizoea Vitonga no please.
 
Hii niliisikia mapema saana, walitaka kuwafilisi hao jamaa wa MAXMALIPO na SELCOM, badala ya kuongeza ushindani ili ufanisi uongezeke wao wanawafilisi halafu wabaki wenyewe waanze kutoa huduma za ajabu ajabu
 
Katika hili ajira za watu zitapungua mnoo. Maana 0.5%= 0.005 sasa mfano umeme wa laki itakuwa 0.005×100,000=500
Kwa hiyo wakala akiuza umeme wa laki kamisheni ni 'jero'.
Fikiria hao wanaofanya kazi ya kuuza hizo mashine watawashawishi vp watu wakubali kununua. Na hapo inamaana automatically faida katika makampuni hayo(maxcom & selcom) itapungua kwa kasi vp kuhusu waajairiwa ni kupigwa panga tu hamna namna nyingine.
 
Back
Top Bottom