Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Katika hili ki ukweli sioni hata faida ya Haya ma mashine ya SELCOM na MAXMALIPO maana mawakala wote hapa walikua wanategemea kwa 80% faida ya kamisheni kutoka kwenye Mauzo ya luku.
Leo hii unaniambia eti kwenye 100,000 ya mauzo ya luku Faida nitayopata ni 1000 Khaaaaaaaaaaaaa..hadi kinyaaa Laki moja yangu nikiuza karanga si napata mara 4 na zaidi ya hiyo Faida?? 🙁🙁🙁🙁🙁
Yani serikali ilianza kama utani ikafuta FAINI ZA TRAFFIC kwa mawakala saivi ukipigwa faini lazima uende bank au ulipie mwenyewe kwenye simu ila sio kwa SELCOM wala MAXMALIPO,watu wametulia tu saivi tena wamehamia kwenye LUKU aseeee kwa mwendo Huuuu haya Ma mashine ni UOZO.😡😡😡😡😡
Yani faida ya LUKU ni sawa na Ku recharge mwendokasi?? sasa serikali kama hamtaki WATU WAHUDUMIWE fanyeni bhasi huduma zote wenyewe.😎😎😎😎
Kama tangazo lae wanavyodai kuanzia Tarehe 02 kamisheni ya LUKU itakua 0.5 na Mawakala tunaseMA kUANZIA Tarehe 02 umeme watu wakanunue TANESCO...shEnziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii😉😉😉😉😉😉😉😉😉😉😉😉😉😉😉
Ukinunua kwa tigopesa wanakukata kiasi Fulani, kwa mfano ukinunua wa elf10 wanakukata tsh. 110,kununua kwa tigo pesa hiyo bado ipo au nayo wamefuta?