Faida ya mauzo ya luku kwa mawakala kutoka 2.5 hadi 0.5

Watu waliokuwa wanaidharau biashara ya ukahaba wataanza kuamini sasa kuwa ni bora ufungue genge la makahaba upate hela nzuri kuliko huo ujinga wa lundo la kodi
 
Mkuu em weka kumbu kumbu zako sahihi, mimi Ijumaa ya tarehe 30/3/2018 nimelipa faini ya makosa barabarani kwa wakala Nakiete Pharmacy pale, na ilikuwa successful. Au hiyo unayoizungumzia imeanza lini mkuu.
Huyo wakala aliyekulipia Faini alikua ni WAKALA wa Bank kati ya CRDB au NMB..angalia kikaratasi chako cha faini ulichopewa na Traffic kwa chini kina maelezo Jinsi ya kulipia na wapi uende kulipia..Hamna mahali wamekuandikia kalipie kwa wakala wa SELCOM au Maxmalipo...Hamna FAINI ya Chombo chochote inayolipiwa na SELCOM AU MAXMALIPO..Ulilipiwa kwa wakala wa CRDB au NMB mkuuu..kama huamini rudi kamuulize alokulipia katumia mashine gani kukulipia hiyo FAINI.
 
Ni kweli mkuu, kikaratasi ni cha NMB, ulikuwa sahihi, sorry for the inconvenience.
 
Hapa kunatakiwa ushirikiano mawakala wa SELCOM na MAXMALIPO wote wafanye mgomo wa kutoa huduma za luku, ili wananchi wakajazane kwenye maofisi yao, mi naanza mdogomdogo kupandikiza chuki hapa mtaani,
 
Kwenye uwaziri wake alionyesha yy ni mtu wa aina watu walitakiwa kujifunze kupitia hapo ndio maana mlivyompa nchi tu siku ya pili nikaona bora niende kubeba Box tutaonana hiyo 2025 km atakubari kutoka maana kusema 2020 itakuwa uongo huo...
 
na bado...wakati huo tulipokuwa tunasema bora kumpa kura mgonjwa mlitukebehi sana ach la tuisome number woteee
ewe dojo?!yyyeee babaaaa.
itafika kipindi mwenye 10,000 anatafutwa mtaa mzima.na bado haonekani.
 
Ndio maana taneaco kila siku ilikuwa inapata hasara
 
Tatizo ni TANESCOOO! Zamani mawakala walikuwa wanapata 5% commission from TANESCO, so mlikuwa mnagawana nao pasu kwa pasu. Sasa hivi TANESCO wamepunguza commission from 5% to 3% kwenye mkataba mpya...
nani alaumiwe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…