Kibanga Ampiga Mkoloni
JF-Expert Member
- Aug 9, 2007
- 18,772
- 8,939
Swali zuri ila nikuweke sawa ndugu.Hakua waziri bali katibu mkuu(mtendaji mkuu wa wizara) na kipindi chake upatikanaji wa maji katika miji mikubwa umeongezeka kutoka 48% mpaka 87% na vijijini kutoka 20 mpaka 51%.Mkuu huyu akiingia Bungeni anakwenda kuwa waziri, hata waktio uliopita alikuwepo, je alibadili nini?
tukubaliane kitnendo cha kuwa waziri na wakati huohuo mbunge kawaida huwezi timiza majukumu yako ya ubunge hata siku moja.
Naona umekimbilia huku kwenye quote za zamani,niletee na quote yake mpya akikataa midahalo basi..Niacom you are just another ZERO BRAIN with ZERO knowledge of what is going on in the country. This stupid fella is just another ZERO BRAIN like you. View attachment 1594154
Ni sawa sawa kabisa kwamaana uwezo wako wa kufikiri unaishia level hiyo,ndio maana unashindwa kuelewa hoja nzito nzito..nenda kasome upya ujielimishe kisha rudi hapa utanikuta.ukiwa ccm hata kama una phd basi ww ni sawa na darasa la 7
Hahaha kama Ukonga na Kinondoni zilivyogeuzwa kuwa ulaya na ccm!Profesa kitila ataifanya ubungo km manhatan
haaa haaa we jamaa daaah,unamchinjia mbali huko.Labda wachakachue tuu.Kitila kushinda ubungo ni ngumu.Mimi Ni mpiga kura Jimbo la ubungo kata ya kimara kura yangu hapati huyu propesa kitila tena na hivi walivyokuwa wanatukatia katia maji huku kimara hivi karibuni ninahasira naye hiyo tarehe 28 namchinjia baharini
Ila ngumu ngumu zaidi kwa Boniface kushinda..kwamaana watu ndio wamemchoka zaidi..haaa haaa we jamaa daaah,unamchinjia mbali huko.Labda wachakachue tuu.Kitila kushinda ubungo ni ngumu.