Uchaguzi 2020 Faida ya Prof. Kitila kwa Ubungo, Dar

Uchaguzi 2020 Faida ya Prof. Kitila kwa Ubungo, Dar

Mkuu huyu akiingia Bungeni anakwenda kuwa waziri, hata waktio uliopita alikuwepo, je alibadili nini?
tukubaliane kitnendo cha kuwa waziri na wakati huohuo mbunge kawaida huwezi timiza majukumu yako ya ubunge hata siku moja.
 
Niacom you are just another ZERO BRAIN with ZERO knowledge of what is going on in the country. This stupid fella is just another ZERO BRAIN like you.
1602169370860.png
 
Mkuu huyu akiingia Bungeni anakwenda kuwa waziri, hata waktio uliopita alikuwepo, je alibadili nini?
tukubaliane kitnendo cha kuwa waziri na wakati huohuo mbunge kawaida huwezi timiza majukumu yako ya ubunge hata siku moja.
Swali zuri ila nikuweke sawa ndugu.Hakua waziri bali katibu mkuu(mtendaji mkuu wa wizara) na kipindi chake upatikanaji wa maji katika miji mikubwa umeongezeka kutoka 48% mpaka 87% na vijijini kutoka 20 mpaka 51%.

Amevunjiria mbali mamlaka zote za maji walizokua wakitumia janja janja kuibia wanachi na kuanzisha bodi mpya..
 
ukiwa ccm hata kama una phd basi ww ni sawa na darasa la 7
 
Niacom you are just another ZERO BRAIN with ZERO knowledge of what is going on in the country. This stupid fella is just another ZERO BRAIN like you. View attachment 1594154
Naona umekimbilia huku kwenye quote za zamani,niletee na quote yake mpya akikataa midahalo basi..
ndio maana nakwambia acha kumezeshwa mezeshwa taarifa.tumia fikra na bongo yako kupambanua mambo..
Profesa ni msomi ambaye anatambua miko,na maadili ya kazi zake.na ndio sababu aliaminika,anaaminika na ataendelea kuaminika....
Viongozi wako mtaa wa ufipa na hata yule mwingine wanalijua hili fika.
 
ukiwa ccm hata kama una phd basi ww ni sawa na darasa la 7
Ni sawa sawa kabisa kwamaana uwezo wako wa kufikiri unaishia level hiyo,ndio maana unashindwa kuelewa hoja nzito nzito..nenda kasome upya ujielimishe kisha rudi hapa utanikuta.
 
Mimi Ni mpiga kura Jimbo la ubungo kata ya kimara kura yangu hapati huyu propesa kitila tena na hivi walivyokuwa wanatukatia katia maji huku kimara hivi karibuni ninahasira naye hiyo tarehe 28 namchinjia baharini
haaa haaa we jamaa daaah,unamchinjia mbali huko.Labda wachakachue tuu.Kitila kushinda ubungo ni ngumu.
 
haaa haaa we jamaa daaah,unamchinjia mbali huko.Labda wachakachue tuu.Kitila kushinda ubungo ni ngumu.
Ila ngumu ngumu zaidi kwa Boniface kushinda..kwamaana watu ndio wamemchoka zaidi..
IMG_20200922_174911_964.jpg
 
Back
Top Bottom