Faida ya Yanga kutoa sure kwa mechi ya marudiano

Faida ya Yanga kutoa sure kwa mechi ya marudiano

eti faida ya kutoka sare home nimemdharau sana huyu mwamba hata kama Mwananchi atashinda ugenini lakin alichoongea ni pumba kwenye siasa yupo vizur ila huku ni lijinga tu
Kwa maneno uliotumia, ni wazi umeumizwa na nilichokisema.

Ushauri: Kunywa panadol na maji mengi walau utapata nafuu.
 
Ayaaa kijana
Kama wewe ndo ungekua mshauri wa timu ungekua unaipeleka timu kinyumenyume usiku wa maanane kwenye ghetto la popobawa ikiwa uchi

Unasema al hilal atajihami
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Oyaaa kama taifa tu watu walidakia matako unafikiri mnaenda kunywa ghahawa ?? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚


Nataka kukumbusha timu ina uwanja
Mashabiki 45sausand........wanajaa mule


Ushasikia yule mtangazaji wa ankara messi ankara messi??? wamemkodi maalumu kwa ajili ya hiyo mechi
Wewe kaa hapo ukajua wanajiandaa kama ihefu

Chekini mtoa madaπŸ˜‚
Shinda kwako weweeee hayaa endelea na huu ujinga
Hata ukivuka hapa kama utaendelea hivi hufiki mbali
 
Nabi ni mbovu kwenye mechi za kimataifa. Ana panga ki kosi uta dhani ana cheza mechi za Ligi na Mbeya City au Singida Big Stars. Hizi Game za CAF ni za mtoano. Hakuna kulemba. Ali takiwa , aanze na Joyce Lomalisa badala ya Jesus Moloko. Pia, ange mtoa kibwana Shomari hata dk ya 26 tu, kwani alipwaya aingie Bakari Nondo Mwamnyeto afu abadilidhe mfumo no na mbinu , wachezaji uwanjani kati ya Faisal na Aziz Ki. Pia aongeze, UKALI. Wachezaji wana lipwa mishahara minono kuliko watu wa Masters Degree, mil 7 hadi mil 15 ila hawajitumi, hawana fighting spirit, mpira wanao cheza hauna maajabu...ni sawa tu na mpira wa Polisi Tz. Aucho, Bangala, Aziz Ki, Jesus Moloko, Diarra, Kisinda, nk hawa wana cheza chini ya kiwango. Aziz Ki ana tabia ya kupooza sana mpira pale shambulizi linapo hitajika. Diarra ana zubaa sana golini na ni mvivu wa kufanya maamuzi hasa mipira ya kona ..hata yale Makosa ya goli la jana (kosa la Bangala), kipa (Diarra) angekuwa shapu, ange futa makosa ya beki kwa kufuata na ku udaka mpira juu hewani (ana tabia ya kubaki sana golini bila kufuata mipira juu kama alivyo kuwa ana fanya kipa wa Al Hilal). Faridi Mussa huwa ana kosa la kukosa Focus (ana mbio na anaweza kukokota mpira vizuri sanaaa ila either atoe cross mbovu au achelewe kutoa cross/pasi hana tofauti sana na Kibu Denis).

Mechi za Yanga hazina nguvu, pressure. Kocha ajaribu kuwachezesha mazoezi ya mpira wa Nguvu na Kasi kama Manchester City (ikiwezekana mazoezini wacheze dk 120).

Viongozi wa YANGA kuweni wakali. Wapeni Malengo wachezaji. Penalty ziwepo kwenye Mikataba ya mishahara zao kama Manchester United. Hela ya YANGA tuna hitaji kuona matunda yake. Kama ni wachezaji wa hivyo! Fukuzeni sajilini wa ndani ya nchi tu, hizo hela za Wadhamini tujenge uwanja wetu.

YANGA BADO INA NAFASI YA KUFUZU. KOCHA AACHE MASIHARA.
Umeongea Kwa uchungu Sana[emoji3577]

Sent from my SM-G930F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom