Mstoiki
JF-Expert Member
- Oct 9, 2020
- 4,365
- 8,384
Inaonesha wewe jamaa ni Time traveller pia.Habari za asubuhi?
😅!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inaonesha wewe jamaa ni Time traveller pia.Habari za asubuhi?
Kesho nitakuja na faida za UMASKINI piaInaonesha wewe jamaa ni Time traveller pia.
😅!
Na uchaa wako nikuona UKIMWI una hasara tuKweli Tanzania ina vichaa, nilikua nafkiri hawapo !
Hapana, huku ambako mimi nipo ilikuwa ni asubuhi.Inaonesha wewe jamaa ni Time traveller pia.
😅!
Nahunga mkono hojaNi mimi wako UWESUTANZANIA ✍️
Ndugu yangu leo ngoja nije na faida za kuwa muathirika wa HIV.
Kama wewe ni muathirika wa HIV basi tafadhali soma hadi mwisho itakusaidia.
Pia kama ulikuwa ukichukua tahadhari juu ya HIV (UKIMWI), yaani bado haujaathirika basi endelea kuchukua tahadhali maana sehemu ya faida nitakazoziweka hapo chini si chochote si lolote ukilinganisha na hasara.
Twende sawa.
Unaambiwa katika dunia kila kitu kina hasara na faida. Hivyo kabla kufikilia kufanya unashauliwa kuanza kuangalia pande zote mbili yaani (ADVANTAGE na DESADVANTAGE ) kimombo changu changu kinaweza kisiwe sawa ni kutokana na kiwango chagu cha elimu.
Basi bwana, miongoni mwa faida kubwa ya kuwa muathirika ni
1. KUTOKUWA NA MIPAKA WALA HOFU KATIKA TENDO
Hii hofu juu ya HIV hupunguza sana raha ya tendo na kukosa na umahiri. Pia ukufanya kuwa na mipaka na woga kwenye baadhi ya watu katika jamii yako inayokuzunguka na kupelekea kuwaogopa na kushindwa kufanya nao.
2. KUFANYA KAVU WAKATI WOTE KWA YEYOTE (yaani bila KINGA)
Ndugu yangu asikwambie mtu, miongoni mwa faida waathirika huzipata ni kuinjoi tendo wakati wote bila kukumbuka kinga bila hofu tena.
3. KUTOKUPATA MAGONJWA MADOGO MADOGO YA ZINAA
Unaambiwa dawa za ARV huwa na antibiotic ndani yake hii antibiotic pia huwasaidia waathirika kutokuandamwa na magonjwa madogo madogo mfano UTI, gono, kaswende na magonjwa ya namna hiyo ndio maana sio ajabu kwa muathirika kukwambia kuwa hajui GONO ni nini.
4. KUKUFAYA KUPATA WATOTO KWA WINGI
Ambao bado hawajathirika wengi wao wamekuwa na spidi ndogo ya kupata watoto na hii ni mara kwa mara kuwa na matumizi ya condom hali ambayo huwapelekea spidi yao ya kutia mimba na kutiwa mimba kupungua.
5. KUKUFANYA UFE MAPEMA KABLA YA UKONGWE
Ndugu yangu UKONGWE ni mbaya sana. Hivyo watumia wengi wa ARV hufa mapema kabla ya kuzeeka UKONGWE.
Nikisema UKONGWE namaanisha ile kuanzia miaka 80 na kuendelea jambo ambalo waathirika wengi wa HIV hawafiki.
FAIDA NI NYINGI
ila leo chukua hizo kwa uchache.
Akhsante.
Ujinga ni wewe kuuchukulia UKIMWI una hasara tuAna matatizo huyo anitoe kwenye huo ujinga
Pamoja hapo mzeeNahunga mkono hoja
Mwanangu wewe umeona kwenye kuwahi KUFA tu,. Angalia angalia vizuri, unaeza pata faida ingine nikupe kama zawadi.Faida kubwa niliyoiona hapo labda ni kuwahi kuonana na muumba mbingu na ardhi.
Ni kweli.Huu Uzi hautuhusu sisi wapunyelist.
Umeshinda mkuu... Good luckUjinga ni wewe kuuchukulia UKIMWI una hasara tu
Ila usijali leo jioni nitakuja na faida za UMASKINI pia inaweza kukuhusuHuu Uzi hautuhusu sisi wapunyelist.
SenkyuUmeshinda mkuu... Good luck
2. KUFANYA KAVU WAKATI WOTE KWA YEYOTE (yaani bila KINGA)
Ndugu yangu asikwambie mtu, miongoni mwa faida waathirika huzipata ni kuinjoi tendo wakati wote bila kukumbuka kinga bila hofu tena.
Ukimaliza uje na faida za kuwa na gonorea na syphillsNi mimi wako UWESUTANZANIA ✍️
Ndugu yangu leo ngoja nije na faida za kuwa muathirika wa HIV.
Kama wewe ni muathirika wa HIV basi tafadhali soma hadi mwisho itakusaidia.
Pia kama ulikuwa ukichukua tahadhari juu ya HIV (UKIMWI), yaani bado haujaathirika basi endelea kuchukua tahadhali maana sehemu ya faida nitakazoziweka hapo chini si chochote si lolote ukilinganisha na hasara.
Twende sawa.
Unaambiwa katika dunia kila kitu kina hasara na faida. Hivyo kabla kufikilia kufanya unashauliwa kuanza kuangalia pande zote mbili yaani (ADVANTAGE na DESADVANTAGE ) kimombo changu changu kinaweza kisiwe sawa ni kutokana na kiwango chagu cha elimu.
Basi bwana, miongoni mwa faida kubwa ya kuwa muathirika ni
1. KUTOKUWA NA MIPAKA WALA HOFU KATIKA TENDO
Hii hofu juu ya HIV hupunguza sana raha ya tendo na kukosa na umahiri. Pia ukufanya kuwa na mipaka na woga kwenye baadhi ya watu katika jamii yako inayokuzunguka na kupelekea kuwaogopa na kushindwa kufanya nao.
2. KUFANYA KAVU WAKATI WOTE KWA YEYOTE (yaani bila KINGA)
Ndugu yangu asikwambie mtu, miongoni mwa faida waathirika huzipata ni kuinjoi tendo wakati wote bila kukumbuka kinga bila hofu tena.
3. KUTOKUPATA MAGONJWA MADOGO MADOGO YA ZINAA
Unaambiwa dawa za ARV huwa na antibiotic ndani yake hii antibiotic pia huwasaidia waathirika kutokuandamwa na magonjwa madogo madogo mfano UTI, gono, kaswende na magonjwa ya namna hiyo ndio maana sio ajabu kwa muathirika kukwambia kuwa hajui GONO ni nini.
4. KUKUFAYA KUPATA WATOTO KWA WINGI
Ambao bado hawajathirika wengi wao wamekuwa na spidi ndogo ya kupata watoto na hii ni mara kwa mara kuwa na matumizi ya condom hali ambayo huwapelekea spidi yao ya kutia mimba na kutiwa mimba kupungua.
5. KUKUFANYA UFE MAPEMA KABLA YA UKONGWE
Ndugu yangu UKONGWE ni mbaya sana. Hivyo watumia wengi wa ARV hufa mapema kabla ya kuzeeka UKONGWE.
Nikisema UKONGWE namaanisha ile kuanzia miaka 80 na kuendelea jambo ambalo waathirika wengi wa HIV hawafiki.
FAIDA NI NYINGI
ila leo chukua hizo kwa uchache.
Akhsante.
Masikini hafilisiki,hii faida usisahau kuiwekaKesho nitakuja na faida za UMASKINI pia
Hiyo akili kunikaa sawa naamini ipo kwenye faida namba 5Ukimaliza uje na faida za kuwa na gonorea na syphills
N.b
Najua ulikuwa haujui kwamba waathirika wanawaeza kupata maambukizi mapya sasa wewe jiachie na ukimwi wako uje upate hiv virus 2.0 ndo akili itakukaa sawa
Ulichokiandika kina kinzana na Shirika la Afya duniani pamoja na Wizara ya afya hapo una hatari unaweza kuchukuliwa hatua mdogo wanguNa uchaa wako nikuona UKIMWI una hasara tu