Faida za kula kwa mkono

Haya ni mafundisho ya mtume muhammad swallahu alyh wasalam toka karne nyingi sana.

Ni sunna kula kwa mkono.
Wana sayansi wamethibitisha pia. Na ile ya kula tende unapofungua mfungo wana sayansi pia wana seems ni vizuri kula kitu kitamu ili kuweka sawa kiwango cha sukari mwilini.
 
Watoto hamuachiwi sinia pekoe yenu lazima kuwe na kubwa wa kuhakikisha mmekula chakula kwanza. Wengine wakishapewa nyama wana nawa mikono.
Walahi raha sana
Nimekumbuka 50 years ago
Asante sana
Ila na mimi nimefuata yale yale
 
Pasi na shaka madame ni muislamu,nahisi upo kwenye campaign processes.
 
Huwa naonekena kama msukuma nikila kwa mkono! Asante ngoja niwatagi!
 


Marekebisho.
Enzyme haitokei vidoleni, ila macho yanapoona na kuhisi umeshika chakula cha baridi au jotojoto ndio mdomo na tumbo hujiandaa kwa kutoa hiyo enzyme (vimeng'enyo").
 
Pamoja na kula kwa mikono lakini wao wamagharibi hawafi haraka kama sisi huku (life expectancy)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…