Faida za kumwagilia "moyo" kwa wazee wa kutumia!

Faida za kumwagilia "moyo" kwa wazee wa kutumia!

kissambivi

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2015
Posts
218
Reaction score
119
Kifupi ni kwamba, kwa sisi watumiaji wa vilevi vya aina mbalimbali huwa inakuwa ni sehemu ya kustarehesha ubongo na pia kupeana mawili matatu katika changamoto za kila siku.

Kumwagilia moyo kunaendana na muziki huku ukiwa unatikisa mwili na vyombo ndio vinashuka.

Tujuane wazee wakumwagilia moyo
 
JF imevamiwa na walevi sasa
Ni furaha kulewa na marafiki×2
FbURbz-XkAAAau_.jpg
 
Mkuu kunywa ila pombe sio nzuri zimenipa matatizo ya kiafya sitayasema hapa coz sijapimwa Bado ila..nahisi ninayo.

Achilia mbali kutoheshimika na jamii
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Vinatengenezwa ili vimwagilie moyo kwa faida yetu tunaokuwepo kwa wakati huo
 
Mkuu kunywa ila pombe sio nzuri zimenipa matatizo ya kiafya sitayasema hapa coz sijapimwa Bado ila..nahisi ninayo.

Achilia mbali kutoheshimika na jamii
Pole Sana humwagili moyo mkuu kazia maji kwasanaa changanya na K.vant .Mambo yataenda...
 
Ulikuwa unakunywa nn boss hadi jamii ikaacha kukuheshimu?
Jamii inajua kwamba kumwagilia moyo ni sehemu ya mahitaji ya mwili wa binadamu wewe wawapi?
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Jamii inajua kwamba kumwagilia moyo ni sehemu ya mahitaji ya mwili wa binadamu wewe wawapi?
Boss, japokuwa swali halikukulenga wewe lakini nashauri Kuwa makini kabla ya kujibu ili ujiridhishe kuwa unajibu swali lililoulizwa.
 
Back
Top Bottom