Faida za kumwagilia "moyo" kwa wazee wa kutumia!

Faida za kumwagilia "moyo" kwa wazee wa kutumia!

Hapana mkuu ivi kweli mtu ambaye nashika zaidi ya million na nusu kwa mwezi unaamin kweli nitakuwa nashindia zakienyeji..sisemi kwamba sijawahi kunywa za kienyeji hapana NImewahi Ila sio Sana kbs kupitiliza..na hata navyokwambia sijiskii kula sio zamani ni juzi juzi Tena niliamua kuitoa cash laki Tisa baada ya kuona tozo nyingi kuchomoa Chomoa kila siku...nikajiuliza hv Mimi nimjinga namna hii yaani pesa zote nashindwa kula vzr mpk naumwa kwa sababu ya sumu hizi.NIMEPUMZIKA BWANA YESU ANIPONYE
Suala " nikumwagilia moyo kiafya " unakula kitimoto kilo mbili na nusu!! Kwanza ukimaliza unaingia kumwagilia moyo taratibu ,sio unakunywa Kama kunajamaa kakununulia .

Pombe za kununulia zinasumbua Sana unakuwa na woga hata ukimwagilia moyo haziendi popote moyo unabaki mkavu ,mwishoni zinakimbilia kwenye ubongo bila kujali unalewa kuliko aliye kununulia,!!!!!

Kama unaripuaripua Mambo kwenye kumwagilia moyo wako .Kanisani utaweza kweli!!?
 
Kifupi ni kwamba, kwa sisi watumiaji wa vilevi vya aina mbalimbali huwa inakuwa ni sehemu ya kustarehesha ubongo na pia kupeana mawili matatu katika changamoto za kila siku.

Kumwagilia moyo kunaendana na muziki huku ukiwa unatikisa mwili na vyombo ndio vinashuka.

Tujuane wazee wakumwagilia moyo

Kwa kweli raha jipe mwenyewe
 
Sio kwamba hakuna misosi mingine isipokuwa tatizo NI kichefuchefu btw Niko mikoa ya pwani samaki wapo wengi tu hamu ya kula ndo Nilikuwa sipati just imagine nakuwekea picha ya screenshot ya bank statement kwa miezi mitatu ya nyuma NImeshika zaidi ya millioni sita kweli uniambie nikose hela ya kula vizuri??ishu kubwa mi pombe zilikuwa nyingi mpaka ubwabwa kuku nikila kile kijiko cha kwanza nakuwa Kama nataka kutapika labda option Nilikuwa nayo ilikuwa NI kula na maji yaani naweka chakula mdomoni nasukumia na maji...pombe NI mateso dada yangu wengi tu hawasemi wanavumilia hasa wanywaji kupita kiasi...thanks God Nina siku mbili sijaona leo nimekula kamchemsho Cha samaki japo mdogo mdogo View attachment 2346904View attachment 2346914
Sawa kaka nimekuelewa.
Pole kwa yaliyokukuta. Mimi nipo tofauti...pombe itanifanya nile nitake nisitake...na bahati nzuri sichagui chakula....naweza nikanywa sana na nikala wali kitu ambacho wengi hawawezi.
Ikitokea nimeshindwa kula ni ile imetokea mara moja moja nimelewa kupitiliza napata kichefuchrefu na hali hurudi kawaida baada ya siku moja au mbili.
 
Wewe haunywi kila siku huyo ni mnywaji wa kila siku
Unywaji wa kila siku sio mzuri tena kila siku unamaliza konyagi sio poa

Sawa kaka nimekuelewa.
Pole kwa yaliyokukuta. Mimi nipo tofauti...pombe itanifanya nile nitake nisitake...na bahati nzuri sichagui chakula....naweza nikanywa sana na nikala wali kitu ambacho wengi hawawezi.
Ikitokea nimeshindwa kula ni ile imetokea mara moja moja nimelewa kupitiliza napata kichefuchrefu na hali hurudi kawaida baada ya siku moja au mbili.
 
mimi nilipata shida mwaka 2014 aisee pombe za kunywa kila siku sio nzuri nilikunywa kwa miezi 11 bila kupumzika ni mwendo wa gambe asubuhi lazima na mchana na jioni kama dawa. nashukuru sana niliamua kujikana nikaona hapa nitakufaa..

  1. kwanza kuna muonekano wa kuchakaa na kuonekana cha pombe (hii ni kama sio mtu wa mazoezi na chakula kwa wingi)
  2. kupoteza umakini (hii watu wanaweza kubisha ila ndo ukweli yani hata kama unafanya kazi ofisini/kazi/biashara kama una kunywa makali huo ndo ukweli
  3. Hangover ya 5G
saizi sheria yangu ni moja tu kula nashiba na lala kidogo naamka nakunywa maji ndo naenda kunywa na nikirudi kulala ni msosi tena na maji ya uvuguvugu basi nikiamka asubuhi kiroho safi.
 
Hatukatai ,

Ukweli ni kwamba swala la kumwagilia moyo sio kila siku,nijambo la siku mbili za wiki mambo yanaenda.
Sio hadiHengover inatokea hadi utoe lock hii shida ndo tunasema haikwepeki kupatwa na matatizo ya kiafya.
"Umwagiliaji wa moyo wa kienyeji"!!!!
 
Leo ndio weekendi yetu "wazee wakumwagilia moyo"
 
Mkuu kunywa ila pombe sio nzuri zimenipa matatizo ya kiafya sitayasema hapa coz sijapimwa Bado ila..nahisi ninayo.

Achilia mbali kutoheshimika na jamii
Pole ndugu.
Wewe ulikuwa pampula.
 
Back
Top Bottom