Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 40,466
- 88,695
Sema tujifunzeMkuu kunywa ila pombe sio nzuri zimenipa matatizo ya kiafya sitayasema hapa coz sijapimwa Bado ila..nahisi ninayo.
Achilia mbali kutoheshimika na jamii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sema tujifunzeMkuu kunywa ila pombe sio nzuri zimenipa matatizo ya kiafya sitayasema hapa coz sijapimwa Bado ila..nahisi ninayo.
Achilia mbali kutoheshimika na jamii
Daaa nangoma hii " bia yetu "ngoja nijeDaah ukiweza kuwacha pombe acha...binafsi nataman lakin nashindwa
Sifa ya muongo huwa anasahau aliyowahi kuyasemaWe jamaa ni muongo knoma halaf 2story twako tuletule
Ilifikia kipindi nikawa sili siku mbili nashindia maembe mabichi na miguu ya kuku na vichwa vya kuku..na ndizi asbh nashindia bakuli la maharage ya jero na siyamalizi nalia na limau...sumu ikajaa halafu ukitapika matapishi hayatoki hewa tu inayonukia madawa..tatizo lingine kubwa mi maumivu ya moyo usiku usingizi sipati too much sleep paralysis.Sema tujifunze
We sema hukuwa na hela.Ilifikia kipindi nikawa sili siku mbili nashindia maembe mabichi na miguu ya kuku na vichwa vya kuku..na ndizi asbh nashindia bakuli la maharage ya jero na siyamalizi nalia na limau...sumu ikajaa halafu ukitapika matapishi hayatoki hewa tu inayonukia madawa..tatizo lingine kubwa mi maumivu ya moyo usiku usingizi sipati too much sleep paralysis.
🤣🤣🤣🤣Wee,Sema kweliIlifikia kipindi nikawa sili siku mbili nashindia maembe mabichi na miguu ya kuku na vichwa vya kuku..na ndizi asbh nashindia bakuli la maharage ya jero na siyamalizi nalia na limau...sumu ikajaa halafu ukitapika matapishi hayatoki hewa tu inayonukia madawa..tatizo lingine kubwa mi maumivu ya moyo usiku usingizi sipati too much sleep paralysis.
"Pole Sana weye ulikuwa mtumiaji wakyenyeji" maana yalikukuta hayo kulingana na kipato ....mwagilia moyo kwa afya.Ilifikia kipindi nikawa sili siku mbili nashindia maembe mabichi na miguu ya kuku na vichwa vya kuku..na ndizi asbh nashindia bakuli la maharage ya jero na siyamalizi nalia na limau...sumu ikajaa halafu ukitapika matapishi hayatoki hewa tu inayonukia madawa..tatizo lingine kubwa mi maumivu ya moyo usiku usingizi sipati too much sleep paralysis.
Hapana mkuu ivi kweli mtu ambaye nashika zaidi ya million na nusu kwa mwezi unaamin kweli nitakuwa nashindia zakienyeji..sisemi kwamba sijawahi kunywa za kienyeji hapana NImewahi Ila sio Sana kbs kupitiliza..na hata navyokwambia sijiskii kula sio zamani ni juzi juzi Tena niliamua kuitoa cash laki Tisa baada ya kuona tozo nyingi kuchomoa Chomoa kila siku...nikajiuliza hv Mimi nimjinga namna hii yaani pesa zote nashindwa kula vzr mpk naumwa kwa sababu ya sumu hizi.NIMEPUMZIKA BWANA YESU ANIPONYE"Pole Sana weye ulikuwa mtumiaji wakyenyeji" maana yalikukuta hayo kulingana na kipato ....mwagilia moyo kwa afya.
Mkuu hela ninayoWe sema hukuwa na hela.
Nini kisa cha kula miguu ya kuku na maharage ya jero.
Ni kwamba ulipoteza appetite ya kula ugali, nyama, supu kitimoto? Nini hasa ilikuwa tatizo upande wa msosi
Umefikia hatua ya kuwa ADDICTED,dalili zote zinaonyesha karibu kila siku unakunywa.Hapana mkuu ivi kweli mtu ambaye nashika zaidi ya million na nusu kwa mwezi unaamin kweli nitakuwa nashindia zakienyeji..sisemi kwamba sijawahi kunywa za kienyeji hapana NImewahi Ila sio Sana kbs kupitiliza..na hata navyokwambia sijiskii kula sio zamani ni juzi juzi Tena niliamua kuitoa cash laki Tisa baada ya kuona tozo nyingi kuchomoa Chomoa kila siku...nikajiuliza hv Mimi nimjinga namna hii yaani pesa zote nashindwa kula vzr mpk naumwa kwa sababu ya sumu hizi.NIMEPUMZIKA BWANA YESU ANIPONYE
Kisa cha kula miguu ya kuku peke yake? Hakuna misosi mingine huko kwenu?Mkuu hela ninayo
Mkuu kunywa ila pombe sio nzuri zimenipa matatizo ya kiafya sitayasema hapa coz sijapimwa Bado ila..nahisi ninayo.
Achilia mbali kutoheshimika na jamii
Ilifikia kipindi nikawa sili siku mbili nashindia maembe mabichi na miguu ya kuku na vichwa vya kuku..na ndizi asbh nashindia bakuli la maharage ya jero na siyamalizi nalia na limau...sumu ikajaa halafu ukitapika matapishi hayatoki hewa tu inayonukia madawa..tatizo lingine kubwa mi maumivu ya moyo usiku usingizi sipati too much sleep paralysis.
Sio kwamba hakuna misosi mingine isipokuwa tatizo NI kichefuchefu btw Niko mikoa ya pwani samaki wapo wengi tu hamu ya kula ndo Nilikuwa sipati just imagine nakuwekea picha ya screenshot ya bank statement kwa miezi mitatu ya nyuma NImeshika zaidi ya millioni sita kweli uniambie nikose hela ya kula vizuri??ishu kubwa mi pombe zilikuwa nyingi mpaka ubwabwa kuku nikila kile kijiko cha kwanza nakuwa Kama nataka kutapika labda option Nilikuwa nayo ilikuwa NI kula na maji yaani naweka chakula mdomoni nasukumia na maji...pombe NI mateso dada yangu wengi tu hawasemi wanavumilia hasa wanywaji kupita kiasi...thanks God Nina siku mbili sijaona leo nimekula kamchemsho Cha samaki japo mdogo mdogoKisa cha kula miguu ya kuku peke yake? Hakuna misosi mingine huko kwenu?
Sasa imagine supu unakula Huku unalamba na limau..na chapati ndo zinakataa kabisa kuingiaSupuya maharage sijawahi ielewa.
Neno moja kwa baba mchungajiKifupi ni kwamba, kwa sisi watumiaji wa vilevi vya aina mbalimbali huwa inakuwa ni sehemu ya kustarehesha ubongo na pia kupeana mawili matatu katika changamoto za kila siku.
Kumwagilia moyo kunaendana na muziki huku ukiwa unatikisa mwili na vyombo ndio vinashuka.
Tujuane wazee wakumwagilia moyo
Basi hazikufaiMkuu kunywa ila pombe sio nzuri zimenipa matatizo ya kiafya sitayasema hapa coz sijapimwa Bado ila..nahisi ninayo.
Achilia mbali kutoheshimika na jamii
Yaani na chapati.. bora ninywe chai aiseeSupuya maharage sijawahi ielewa.