Faida za kumwagilia "moyo" kwa wazee wa kutumia!

kissambivi

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2015
Posts
218
Reaction score
119
Kifupi ni kwamba, kwa sisi watumiaji wa vilevi vya aina mbalimbali huwa inakuwa ni sehemu ya kustarehesha ubongo na pia kupeana mawili matatu katika changamoto za kila siku.

Kumwagilia moyo kunaendana na muziki huku ukiwa unatikisa mwili na vyombo ndio vinashuka.

Tujuane wazee wakumwagilia moyo
 
Mkuu kunywa ila pombe sio nzuri zimenipa matatizo ya kiafya sitayasema hapa coz sijapimwa Bado ila..nahisi ninayo.


Achilia mbali kutoheshimika na jamii
 
Reactions: Tsh
Vinatengenezwa ili vimwagilie moyo kwa faida yetu tunaokuwepo kwa wakati huo
 
Mkuu kunywa ila pombe sio nzuri zimenipa matatizo ya kiafya sitayasema hapa coz sijapimwa Bado ila..nahisi ninayo.


Achilia mbali kutoheshimika na jamii
Pole Sana humwagili moyo mkuu kazia maji kwasanaa changanya na K.vant .Mambo yataenda...
 
Ulikuwa unakunywa nn boss hadi jamii ikaacha kukuheshimu?
Jamii inajua kwamba kumwagilia moyo ni sehemu ya mahitaji ya mwili wa binadamu wewe wawapi?
 
Reactions: Tsh
K vant na Safari bia..almost karibu bia zote nimeshakunywa na vingine vikali...ila baada ya kushika pesa nikabaki kwenye konyagi na k vant...
We jamaa ni muongo knoma halaf 2story twako tuletule
 
Jamii inajua kwamba kumwagilia moyo ni sehemu ya mahitaji ya mwili wa binadamu wewe wawapi?
Boss, japokuwa swali halikukulenga wewe lakini nashauri Kuwa makini kabla ya kujibu ili ujiridhishe kuwa unajibu swali lililoulizwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…