Faida za kumwagilia "moyo" kwa wazee wa kutumia!

Suala " nikumwagilia moyo kiafya " unakula kitimoto kilo mbili na nusu!! Kwanza ukimaliza unaingia kumwagilia moyo taratibu ,sio unakunywa Kama kunajamaa kakununulia .

Pombe za kununulia zinasumbua Sana unakuwa na woga hata ukimwagilia moyo haziendi popote moyo unabaki mkavu ,mwishoni zinakimbilia kwenye ubongo bila kujali unalewa kuliko aliye kununulia,!!!!!

Kama unaripuaripua Mambo kwenye kumwagilia moyo wako .Kanisani utaweza kweli!!?
 

Kwa kweli raha jipe mwenyewe
 
Sawa kaka nimekuelewa.
Pole kwa yaliyokukuta. Mimi nipo tofauti...pombe itanifanya nile nitake nisitake...na bahati nzuri sichagui chakula....naweza nikanywa sana na nikala wali kitu ambacho wengi hawawezi.
Ikitokea nimeshindwa kula ni ile imetokea mara moja moja nimelewa kupitiliza napata kichefuchrefu na hali hurudi kawaida baada ya siku moja au mbili.
 
Wewe haunywi kila siku huyo ni mnywaji wa kila siku
Unywaji wa kila siku sio mzuri tena kila siku unamaliza konyagi sio poa

 
mimi nilipata shida mwaka 2014 aisee pombe za kunywa kila siku sio nzuri nilikunywa kwa miezi 11 bila kupumzika ni mwendo wa gambe asubuhi lazima na mchana na jioni kama dawa. nashukuru sana niliamua kujikana nikaona hapa nitakufaa..

  1. kwanza kuna muonekano wa kuchakaa na kuonekana cha pombe (hii ni kama sio mtu wa mazoezi na chakula kwa wingi)
  2. kupoteza umakini (hii watu wanaweza kubisha ila ndo ukweli yani hata kama unafanya kazi ofisini/kazi/biashara kama una kunywa makali huo ndo ukweli
  3. Hangover ya 5G
saizi sheria yangu ni moja tu kula nashiba na lala kidogo naamka nakunywa maji ndo naenda kunywa na nikirudi kulala ni msosi tena na maji ya uvuguvugu basi nikiamka asubuhi kiroho safi.
 
Hatukatai ,

Ukweli ni kwamba swala la kumwagilia moyo sio kila siku,nijambo la siku mbili za wiki mambo yanaenda.
Sio hadiHengover inatokea hadi utoe lock hii shida ndo tunasema haikwepeki kupatwa na matatizo ya kiafya.
"Umwagiliaji wa moyo wa kienyeji"!!!!
 
Leo ndio weekendi yetu "wazee wakumwagilia moyo"
 
Mkuu kunywa ila pombe sio nzuri zimenipa matatizo ya kiafya sitayasema hapa coz sijapimwa Bado ila..nahisi ninayo.


Achilia mbali kutoheshimika na jamii
Pole ndugu.
Wewe ulikuwa pampula.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…