Huyo teja.Wanywa gongo akikuangalia usoni utafikiri kakesha kwenye msiba anaomboleza...yaan sura inakuwa imeiva na macho kama yametoka kulia!
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyeupe peee. Harufu sio kali
Na yake kubwa kuliko zote unywe ulewe mpaka ubebwe kwenye mkokoteni.
Si mchezo,itabid niitafte niichunguze,si jero tuuNyeupe peee. Harufu sio kali
Ladha sijui
Ila mtu asiejua konyagi anaweza kudhani ninkonyagi
Sent using Jamii Forums mobile app
Uneona ee!???gongo sio mbaya ila walimwengu wanaipakaza ubaya
Haya hutokea kama hupati menu ukashiba1. Gongo huaribu mfumo wa kufikiria kabisa...
2. Gongo huaribu vinywa kabisa,hubabua na midomo yao hunuka hatari...
3. Gongo hudhoofisha mwili na kua kama mtu anayeugua TB...
Cc: @mahomdaw
Kuna aina tatu za gongo ambazo ni za hatari.Gongo ni hatari sana kwa afya nashangaa watu wakiinadi hadharani kuna walevi wa gongo huko Kenya walipofuka macho kwa kunywa gongo na walitoa Maneno eti hata ukizima taa hapa hatuondoki kumbe washakua vipofu...
Unaongea utadhani wanywa Gongo tunao mbali aisee gongo ni hatari ushaona kinywaji gani mtu anakunywa huku kafumba macho na akinywa anatamani hata grass aitupe muda huo huo...Haya hutokea kama hupati menu ukashiba
Acha kudanganya njoo kitunda uone jinsi gongo inavyo tengenezwa katika mazingira machafu, mapapai mabovu jumlisha nguo mbovu yaani kila aina ya mikorokoro inawekwa ndio maana gongo kama hijanzimuliwa inawaka moto ukiwasha.Huyo teja.
Watu wanakunywa Gongo wako very smart.
Wana maisha yao wake kwa waume
Wako vizuri mno.
Kama alivyosema mkulu gongo ni kama pombe zingine tu ila haijapimwa.
Halafu malighafi ya kutengenezea Gongo unajua kama ni sukari? Mana usifananishe pombe zingine za ajabu ajabu na Gongo pure mkuu[emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app