Faida za kunywa gongo hizi hapa. Ukinywa bia huzipati ng'o!

Faida za kunywa gongo hizi hapa. Ukinywa bia huzipati ng'o!

Wanywa gongo akikuangalia usoni utafikiri kakesha kwenye msiba anaomboleza...yaan sura inakuwa imeiva na macho kama yametoka kulia!

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo teja.
Watu wanakunywa Gongo wako very smart.
Wana maisha yao wake kwa waume
Wako vizuri mno.
Kama alivyosema mkulu gongo ni kama pombe zingine tu ila haijapimwa.
Halafu malighafi ya kutengenezea Gongo unajua kama ni sukari? Mana usifananishe pombe zingine za ajabu ajabu na Gongo pure mkuu[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba kuuliza "gongo umeruhusiwa au???

13SEPTEMBER
 
Achana na NIPA a.k.a FANTA kule kwetu Ntwara inanyweka sana tena tunaitengeneza kwa material safi kabisa almaarufu kochoko ndo maana hata jiwe kaikubali gongo ya kule,ile grade 1 unawashia jiko kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Gongo ni hatari sana kwa afya nashangaa watu wakiinadi hadharani kuna walevi wa gongo huko Kenya walipofuka macho kwa kunywa gongo na walitoa Maneno eti hata ukizima taa hapa hatuondoki kumbe washakua vipofu...
 
1. Gongo huaribu mfumo wa kufikiria kabisa...

2. Gongo huaribu vinywa kabisa,hubabua na midomo yao hunuka hatari...

3. Gongo hudhoofisha mwili na kua kama mtu anayeugua TB...

Cc: mahondaw
 
1. Gongo huaribu mfumo wa kufikiria kabisa...

2. Gongo huaribu vinywa kabisa,hubabua na midomo yao hunuka hatari...

3. Gongo hudhoofisha mwili na kua kama mtu anayeugua TB...

Cc: @mahomdaw
Haya hutokea kama hupati menu ukashiba
 
Gongo ni hatari sana kwa afya nashangaa watu wakiinadi hadharani kuna walevi wa gongo huko Kenya walipofuka macho kwa kunywa gongo na walitoa Maneno eti hata ukizima taa hapa hatuondoki kumbe washakua vipofu...
Kuna aina tatu za gongo ambazo ni za hatari.
-gongo ya mavi (gongo la mavi)
-gongo ya mawe
-gongo ya mbolea

Aina nyingine zote za gongo hazina shida hii
 
Huyo teja.
Watu wanakunywa Gongo wako very smart.
Wana maisha yao wake kwa waume
Wako vizuri mno.
Kama alivyosema mkulu gongo ni kama pombe zingine tu ila haijapimwa.
Halafu malighafi ya kutengenezea Gongo unajua kama ni sukari? Mana usifananishe pombe zingine za ajabu ajabu na Gongo pure mkuu[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kudanganya njoo kitunda uone jinsi gongo inavyo tengenezwa katika mazingira machafu, mapapai mabovu jumlisha nguo mbovu yaani kila aina ya mikorokoro inawekwa ndio maana gongo kama hijanzimuliwa inawaka moto ukiwasha.
 
Back
Top Bottom