Faida za kupitia JKT kwa wahitimu

Faida za kupitia JKT kwa wahitimu

Mr. Mangi

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2014
Posts
1,514
Reaction score
768
Hizi ni baadhi ya faida za kupitia jkt kwa wahitimu hasa kwa wale wanao shiriki kikamilifu.
Kwanza wana uvumilivu mkubwa ktk kila jambo pili ni wepesi wa kupokea amri zinazotolewa juu yao tatu ni wakakamavu na wana uwezo wa kupambana na mazingira magumu nne wana uelewa mkubwa juu ya silaha kama vile SAR56, SMG56 na G3, tano wana uwezo na uelewa juu ya shughuli mbalimbal za uzalishaji mali sita wana ujasiri mkubwa saba imewasaidia kujua reality(tabia) za mwenzao wanapokuwa ktk mazingira magumu hasa kwa madem nane wana heshimu mamlaka n.k
NB: ni kwa wale wanaoshiriki kikamilifu. Hivyo hili ni moja kati ya mambo ninayompongeza nayo Raisi wetu
 
Haah sasa ndio umeandika kitu gani hapa. Yan labda ungesema inawapatia GPA kubwa chuoni. Ha ha ha kweli kuna watu ni shida tu ndio wamezoea.
Samahan lakn
 
uko sawa mkali ila umesahau silaha kama RPG,SLR
 
Umeweza kuona faida sawa kabisa jamaa yangu. Ila je umeweza kufikiri hasara??? Nahisi ni nyingi zaidi....
 
Vyema Ila Ukakamavu Bila Kazi Ni Kuupalilia Uharamia Na Ujambazi
 
Hizi ni baadhi ya faida za kupitia jkt kwa wahitimu hasa kwa wale wanao shiriki kikamilifu.
Kwanza wana uvumilivu mkubwa ktk kila jambo pili ni wepesi wa kupokea amri zinazotolewa juu yao tatu ni wakakamavu na wana uwezo wa kupambana na mazingira magumu nne wana uelewa mkubwa juu ya silaha kama vile SRA56, SMG56 na G3, tano wana uwezo na uelewa juu ya shughuli mbalimbal za uzalishaji mali sita wana ujasiri mkubwa n.k
NB: ni kwa wale wanaoshiriki kikamilifu. Hivyo hili ni moja kati ya mambo ninayompongeza nayo Raisi wetu

Waziii..
 
hio ni tabia ya mtu mbona mi nimerudi mlokole

Naona ilikuea njia moja ya kuwapa wajeshi fursa ya kutembea na dada zenu tuu. Maana ilifika hatua dada zenu kufanyiwa hadi vyooni. Au hamkujua hili??? Ukaka mavu hata nyumbani unaweza kuupata ukitaka. Unaweza ukawa umerudi mlokole jina tuu.
 
Hivi Hawa Jaket Wakiripwa Mshahara Mdogo Hawatakuwa Wez
 
So what?, wameenda wamerudi wachovu tu,afya dhoofu,wametushwa na wanaogopa migomo,matusi yamezidi mitaani,kuna Dada zetu wameharibiwa huko,hizi ni faida au ujinga
 
So what?, wameenda wamerudi wachovu tu,afya dhoofu,wametushwa na wanaogopa migomo,matusi yamezidi mitaani,kuna Dada zetu wameharibiwa huko,hizi ni faida au ujinga



Bora umeona
 
aliepost babake n CO dats haijielew najuta mdogo angu kwenda mtoto wa kike kawa hana haya mitus kwake kawaidah tu ova kabakwa dah
 
Back
Top Bottom