Mr. Mangi
JF-Expert Member
- Sep 21, 2014
- 1,514
- 768
Hizi ni baadhi ya faida za kupitia jkt kwa wahitimu hasa kwa wale wanao shiriki kikamilifu.
Kwanza wana uvumilivu mkubwa ktk kila jambo pili ni wepesi wa kupokea amri zinazotolewa juu yao tatu ni wakakamavu na wana uwezo wa kupambana na mazingira magumu nne wana uelewa mkubwa juu ya silaha kama vile SAR56, SMG56 na G3, tano wana uwezo na uelewa juu ya shughuli mbalimbal za uzalishaji mali sita wana ujasiri mkubwa saba imewasaidia kujua reality(tabia) za mwenzao wanapokuwa ktk mazingira magumu hasa kwa madem nane wana heshimu mamlaka n.k
NB: ni kwa wale wanaoshiriki kikamilifu. Hivyo hili ni moja kati ya mambo ninayompongeza nayo Raisi wetu