Faida za kusoma chuo kikuu ni sawa na vyuo vya kati?

Faida za kusoma chuo kikuu ni sawa na vyuo vya kati?

Ikra Ally

Member
Joined
Apr 4, 2023
Posts
12
Reaction score
20
Hbr za wakti huu wadau,naomb mnielimishe na kunsaidia kweny hli,Je kuna tofaut yeyte ya mtu anaehitimu degree chuo cha taasisi na chuo kikuu?

Yani mfano Anaehtimu Degree kwa GPA kubwa UDSM na Anaehtmu kwa GPA ya juu TIA,pengne kuna faida ipi ya ziada inapatikana kwa kuhtimu chuo kikuu(UDSM/UDOM)na sio vyuo vya taasisiTIA/CBE?
 
Jina Ikra.. nmekumbuka rafiki yangu wa kike.

Weka sawa kichwa cha uzi wako umezungumzia chuo kikuu na vyuo vya kati nadni ya uzi unazungumzia vyuo vikuu na taasisi. Unamaanisha nini?

Pia, swali lako ni sawa na kuuliza kuwa kuna tofauti gani aliyesoma ndani ya nchi na nje ya nchi.

Suala linaloangaliwa ni program na shahada uliyohitimu pekee haijalishi umehitimu taasisi gani.
 
Kweli kabisa chuo ni chuo hata madrassa ni chuo.
😂 Umenikumbusha mara ya kwanza nafika Dar, nimetulia mtaani kuna mmama anamwambia mwanae wa miaka kama 5 hv mbona leo hujaenda chuo? Mh mm nikabaki kushangaa mambo yanaendaje hapa 😂
 
Pengn nkupe mfano,Je alie graduate Udsm akapata Gpa ya 4.5 ni sawa na aliehitimu Tia with same same Gpa?
Unamaanisha nini maana mtu mwenye GPA hiyo TIA au IFM kwenye Account yuko vizuri kuliko wa UDSM Maana hizo ni Taasisi zimespecialize kwenye fedha na Uhasibu ah hujui ulichomaanisha,
 
Back
Top Bottom