Faida za kusoma chuo kikuu ni sawa na vyuo vya kati?

Faida za kusoma chuo kikuu ni sawa na vyuo vya kati?

Hbr za wakti huu wadau,naomb mnielimishe na kunsaidia kweny hli,Je kuna tofaut yeyte ya mtu anaehitimu degree chuo cha taasisi na chuo kikuu?

Yani mfano Anaehtimu Degree kwa GPA kubwa UDSM na Anaehtmu kwa GPA ya juu TIA,pengne kuna faida ipi ya ziada inapatikana kwa kuhtimu chuo kikuu(UDSM/UDOM)na sio vyuo vya taasisiTIA/CBE?
Sawa Tu... We kapige shule achana na wajuaji wa Jamiiforums... Hatuwezi Tanzania nzima tukasoma UDSM au UDOM... Na ndo maana ya kuanzisha mamlaka ya kuhakikisha Viwango vya elimu vinavyotolewa katika vyuo vyetu vinakidhi Viwango na standard za kimataifa(TCU) Bila kujali hiki chuo ni university, Institute au college... Elimu ni Ile Ile na mitaala yote inaratibiwa na kuhakikiwa na TCU!
 
Back
Top Bottom