Faida za kusoma chuo kikuu ni sawa na vyuo vya kati?

Sawa Tu... We kapige shule achana na wajuaji wa Jamiiforums... Hatuwezi Tanzania nzima tukasoma UDSM au UDOM... Na ndo maana ya kuanzisha mamlaka ya kuhakikisha Viwango vya elimu vinavyotolewa katika vyuo vyetu vinakidhi Viwango na standard za kimataifa(TCU) Bila kujali hiki chuo ni university, Institute au college... Elimu ni Ile Ile na mitaala yote inaratibiwa na kuhakikiwa na TCU!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…