Trinity Darrell
Member
- Apr 27, 2019
- 12
- 21
Nataka kujuzwa faida ya matumiz ya sabuni aina ya dove.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Thanks... Hapo kutofautisha kati ya fake na original ndiyo kazi sasaNilikuwa natumia Dove sana ngozi yangu ilikuwa muruwa sasa nikasema acha nibadilishe sabuni. Baada ya miezi 6 nimerudia kutumia Dove tena hapa ndio nimeijua samani ya hii sabuni ya Dove sitorudia kosa la kutumia sabuni nyengine zaidi ya Dove na Total tu. Halafu kuwa makini unapo nunua sabuni na lotion kuna watu wanatengeneza fake kutoka China wanaleta Tanzania ninao ushahidi wa hili jambo.
Ndukiiiii 🏃♂️🏃♂️🏃♂️
Thank youMaalum kwa ngozi ya kawaida na ngozi kavu,
Inatakatisha ngozi na kujihisi fresh kutwa nzima.
Tofauti ni zip? Picha kama hutojaliNilikuwa natumia Dove sana ngozi yangu ilikuwa muruwa sasa nikasema acha nibadilishe sabuni. Baada ya miezi 6 nimerudia kutumia Dove tena hapa ndio nimeijua samani ya hii sabuni ya Dove sitorudia kosa la kutumia sabuni nyengine zaidi ya Dove na Total tu. Halafu kuwa makini unapo nunua sabuni na lotion kuna watu wanatengeneza fake kutoka China wanaleta Tanzania ninao ushahidi wa hili jambo.
Ndukiiiii [emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Sina picha ila kuna jamaa alikuja nazo kwenye maboksi kama 50 ya Dove na 50 ya lotion ya Nivea.Tofauti ni zip? Picha kama hutojali
Hata wanaume wanatumia nasikia ni nzuri sana kwa ngozi aina zote ht za weny mafuta mengimiaka yote najuaga hii ni sabuni kwa ajili ya mabinti...
nitaijaribu siku mojaHata wanaume wanatumia nasikia ni nzuri sana kwa ngozi aina zote ht za weny mafuta mengi
Geisha ndio ilikuwa sabuni yangu....mpk walipopotelea hewaniDove na Geisha sabuni Murua sana.
Sijui imekuwaje Geisha haipatikani kabisa
Geisha ndio ilikuwa sabuni yangu....mpk walipopotelea hewani
🙂Yaani ukisikia mahali ipo utanitag basi🤷🏿♀️
Mara ya mwisho nimeipata Tunduma box moja.
Dove na Geisha sabuni Murua sana.
Sijui imekuwaje Geisha haipatikani kabisa
🙂
halafu nilishasikia mikoa ya mipakani bado ipogo...sasa sijui why huku haiji aisee
hakuna kwa kweli..Sielewi kwa nini!
Na hapa kwetu hamna hata sabuni ya maana yaani ukiondoa Dove,Geisha na dettol japokuwa zimeshachakachuliwa sana, sijui sabuni gani ya kuogea inabaki!
Geisha cjaziona cku nyingi