Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Imperial pia nzuriSielewi kwa nini!
Na hapa kwetu hamna hata sabuni ya maana yaani ukiondoa Dove,Geisha na dettol japokuwa zimeshachakachuliwa sana, sijui sabuni gani ya kuogea inabaki!
Unatumia dov aina gani ya sabuni? Na lotion ipi pia watumia? Fek wazijuaje?Nilikuwa natumia Dove sana ngozi yangu ilikuwa muruwa sasa nikasema acha nibadilishe sabuni. Baada ya miezi 6 nimerudia kutumia Dove tena hapa ndio nimeijua samani ya hii sabuni ya Dove sitorudia kosa la kutumia sabuni nyengine zaidi ya Dove na Total tu. Halafu kuwa makini unapo nunua sabuni na lotion kuna watu wanatengeneza fake kutoka China wanaleta Tanzania ninao ushahidi wa hili jambo.
Ndukiiiii [emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Dove products zao zote ni nzuriNataka kujuzwa faida ya matumiz ya sabuni aina ya dove.
Unatumia dov aina gani ya sabuni? Na lotion ipi pia watumia? Fek wazijuaje?
Ahsante sana.
Karibu uniungishe Niko na full set kuanzia shower gel 10,000-18,000Ahsante sana.
Namalizia Nivea for men, nikitoka tu NIVEA nahamia products za Dove.
Nina deodorant yao nilinunua kkoo ni nzur, nzuri kweli kweli. Nimeona hawa jamaa wapo serious na products zao.
Umejipanga 😊, mpe bei kabisaKaribu uniungishe Niko na full set kuanzia shower gel
Sabuni
Deodorant
Shaving mousse
Intimo
Body spray
Deodorant stick
Lotion
Scrub
Karibu uniungishe Niko na full set kuanzia shower gel 10,000-18,000
Sabuni 2,500
Deodorant 4,500
Shaving mousse 15,000
Intimo 15,000
Body spray 8,500
Deodorant stick 7,000
Lotion 8,500
Scrub 22,000
Mkuu Kata kucha, huo sio urembo ni uchafu
Madam, nimeanza hivi, good combo au?
Mkuu umenunua wapi hizi ?
Hayo mafuta yalichonifanya, nikaanza kufifia na kutoka machunusi makubwa mashavuni
Zinapatikana wapi OG?Dove products zao zote ni nzuri
Hizo bei mmmm,Karibu uniungishe Niko na full set kuanzia shower gel 10,000-18,000
Sabuni 2,500
Deodorant 4,500
Shaving mousse 15,000
Intimo 15,000
Body spray 8,500
Deodorant stick 7,000
Lotion 8,500
Scrub 22,000
Nimenunua wapi boss
Inatengenezwa wapi?Maalum kwa ngozi ya kawaida na ngozi kavu,
Inatakatisha ngozi na kujihisi fresh kutwa nzima.
Kwa Bongo duka lenye bidhaa za urembo original na nzuri nenda Home Collection Masaki Branch. Wale jamaa wana kila kitu kutoka bara Ulaya na wazungu wanaoishi Dar majority wanachukua bidhaa pale. Ni kama huko Ulaya tuThanks... Hapo kutofautisha kati ya fake na original ndiyo kazi sasa
Mwana Dar kuna maduka yana vitu vyote vinavyopatikana Ulaya. Mie nanunua vitu Home Collection Masaki wale wahindi wamerahisisha sana maishaSielewi kwa nini!
Na hapa kwetu hamna hata sabuni ya maana yaani ukiondoa Dove, Geisha na dettol japokuwa zimeshachakachuliwa sana, sijui sabuni gani ya kuogea inabaki!