funzadume
JF-Expert Member
- Jan 28, 2010
- 13,624
- 21,362
Kuna brands nyingi sana za bidhaa tumezoea tu Dove na Nivea. Mie natumia brands tofauti tofauti na ni nzuri sana baadhi ni hizi kwenye picha. Nyingi nilizijulia Germany wakati nasoma na nikazikuta huku bongo. Hiyo shower jelly ya carex au lifebuoy zinanukia sana ukiogea bafu linabaki na harufu za kimamtoniAhsante sana.
Namalizia Nivea for men, nikitoka tu NIVEA nahamia products za Dove.
Nina deodorant yao nilinunua kkoo ni nzur, nzuri kweli kweli. Nimeona hawa jamaa wapo serious na products zao.