Faida za kutumia sabuni aina ya dove ni zipi?

Unatumia dov aina gani ya sabuni? Na lotion ipi pia watumia? Fek wazijuaje?
 
Ahsante sana.

Namalizia Nivea for men, nikitoka tu NIVEA nahamia products za Dove.

Nina deodorant yao nilinunua kkoo ni nzur, nzuri kweli kweli. Nimeona hawa jamaa wapo serious na products zao.
Karibu uniungishe Niko na full set kuanzia shower gel 10,000-18,000
Sabuni 2,500
Deodorant 4,500
Shaving mousse 15,000
Intimo 15,000
Body spray 8,500
Deodorant stick 7,000
Lotion 8,500
Scrub 22,000
 
Wanaume wa jf mafuta hamtaki kujipaka kwa kusema ni mambo ya kike lakini mnachagua sabuni ya kuwafanya muwe nyororo.
Tumieni jamaa inawafaa au Mbuni
 
Karibu uniungishe Niko na full set kuanzia shower gel 10,000-18,000
Sabuni 2,500
Deodorant 4,500
Shaving mousse 15,000
Intimo 15,000
Body spray 8,500
Deodorant stick 7,000
Lotion 8,500
Scrub 22,000
Hizo bei mmmm,
 
Sielewi kwa nini!
Na hapa kwetu hamna hata sabuni ya maana yaani ukiondoa Dove, Geisha na dettol japokuwa zimeshachakachuliwa sana, sijui sabuni gani ya kuogea inabaki!
Mwana Dar kuna maduka yana vitu vyote vinavyopatikana Ulaya. Mie nanunua vitu Home Collection Masaki wale wahindi wamerahisisha sana maisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…