Kuna brands nyingi sana za bidhaa tumezoea tu Dove na Nivea. Mie natumia brands tofauti tofauti na ni nzuri sana baadhi ni hizi kwenye picha. Nyingi nilizijulia Germany wakati nasoma na nikazikuta huku bongo. Hiyo shower jelly ya carex au lifebuoy zinanukia sana ukiogea bafu linabaki na harufu za kimamtoniAhsante sana.
Namalizia Nivea for men, nikitoka tu NIVEA nahamia products za Dove.
Nina deodorant yao nilinunua kkoo ni nzur, nzuri kweli kweli. Nimeona hawa jamaa wapo serious na products zao.
Kwa Bongo duka lenye bidhaa za urembo original na nzuri nenda Home Collection Masaki Branch. Wale jamaa wana kila kitu kutoka bara Ulaya na wazungu wanaoishi Dar majority wanachukua bidhaa pale. Ni kama huko Ulaya tu
Imperial nayo vipi?Geisha ndio ilikuwa sabuni yangu....mpk walipopotelea hewani
Bei kama Kariakoo tuTofauti yetu na wao ni Bei tu
Bei kama Kariakoo tu
Iyo spray ya dove ni Bei gan ,na vip upatikanaji wakeKuna brands nyingi sana za bidhaa tumezoea tu Dove na Nivea. Mie natumia brands tofauti tofauti na ni nzuri sana baadhi ni hizi kwenye picha. Nyingi nilizijulia Germany wakati nasoma na nikazikuta huku bongo. Hiyo shower jelly ya carex au lifebuoy zinanukia sana ukiogea bafu linabaki na harufu za kimamtoniView attachment 2546233View attachment 2546234View attachment 2546235View attachment 2546238
Nilinunua elfu kumi na zinapatikana maduka yote makubwa jijini DSM. Zipo aina nyingi ila mimi nimeipenda hiyo sport active fresh
Na kuna mhindi mwingine amefungua duka la vipodozi og kutokea uingereza pale kariakoo mtaa wa Amani na MvitaMwana Dar kuna maduka yana vitu vyote vinavyopatikana Ulaya. Mie nanunua vitu Home Collection Masaki wale wahindi wamerahisisha sana maisha
ok nitamtembelea huyo. Hayuko kwenye mitandao ya kijamii?Na kuna mhindi mwingine amefungua duka la vipodozi og kutokea uingereza pale kariakoo mtaa wa Amani na Mvita
Yupo ila nitaangalia jina lake na kushare hapa.....ila kwa wale wazoefu wa kariakoo ile ya kukaribia fire,duka lipo pale ilipokuwa zamani Mussa Telecomunicationok nitamtembelea huyo. Hayuko kwenye mitandao ya kijamii?
poa itapendeza watu wakipajua nchi imeingia uchumi wa katiYupo ila nitaangalia jina lake na kushare hapa.....ila kwa wale wazoefu wa kariakoo ile ya kukaribia fire,duka lipo pale ilipokuwa zamani Mussa Telecomunication
Hawapo mitandao ya kijamii?na bei zao zikoje,nilikuwa nataka hiiKuna brands nyingi sana za bidhaa tumezoea tu Dove na Nivea. Mie natumia brands tofauti tofauti na ni nzuri sana baadhi ni hizi kwenye picha. Nyingi nilizijulia Germany wakati nasoma na nikazikuta huku bongo. Hiyo shower jelly ya carex au lifebuoy zinanukia sana ukiogea bafu linabaki na harufu za kimamtoniView attachment 2546233View attachment 2546234View attachment 2546235View attachment 2546238
Ingia Instagram: homecollectionmasaki au homecollectioncitycentreHawapo mitandao ya kijamii?na bei zao zikoje,nilikuwa nataka hiiView attachment 2555089
AsanteIngia Instagram: homecollectionmasaki au homecollectioncitycentre