Kila mtu na maarifa yake na atakavyoichukulia elimu yake mkuu na tunatofautiana katika kupokea ndio maana kuna washiya,waismailia,wasunni,wafaradhi,sunni wa jamaa na wasufi n.k katika uislam,
Hivyo hivyo na wakristo kuna wasabato,wakatoriki na wengineo watakao tajwa
Hivyo kila mtu ana fact zake, unafikiri kwenye vitabu vya dini kuna sehemu iliandikwa ukimwi? Televisheni? Sub woofer? Nafikiri hicho kitabu kingekuwa na urefu wa mwanzo hadi mwisho wa dunia wafahamu kwamba hata vitabu kuna taurati,zaburi,injili quran? Unadhani ni kwa nini?
na hivi tunavyozidi kuhitilafiana ndio kunatimiza utukufu wa mwenyezi mungu sasa kama unaona yangu hayakufai mkuu pitia ya wengine yatakufaa,
Sio lazima kila thread uchangie pita kunakokufaa ningetaka hij ijadiliwe kidini ningeishusha kwenye thread za dini ndio maana tukimwaga mtama kwenye kuku wengi wenye roho mbaya mnachukia kwa sababu ya ubinafsi sasa hizi forums zina code anzisha thread kwenye jukwaa la dini na useme waislamu dhehebu fulani msimsome rakims anawapotosha utakuwa umefanya akili safi.. kuliko kunipotezea muda kukujibu kwa marefu wakati ningekuwa nimeendelea na kipengele kingine,
Rakims