Faida za Majina ya Mungu yaliyotumika kuumba na kauli zenye nguvu na Maajabu yake ya hali ya juu

Katika uislamu hakuna majina 99 ya mwenyezi Mungu?

Acha ujinga? Hakuna jina Masiyah bin Maryam? Hakuna Alif lam Meem? Hakuna Swaad? Unazitambua faida za jina la Al Hakkamu???

Wewe muislamu gani ambaye unakurupuka mtu hajamaliza maongezi? Huwaoni wengine wanasubiri mwisho wa mada ufike waanze kuhoji? Kuwa na Hitram akhiy usijudge jambo kabla ya kujua mwisho wake..

Rakims
Rudi katika mada yako uliyoiandika na niletee uthibitisho katika qur-an na hadithi katika hayo majina ya kuamsha walinzi majina yalioandikwa katika mbingu na mengineyo uliyayajumuisha. Brother katika uislam hakuna kitu kma hcho hio ni shirki na ramli ilioko wazi.
 
Kila mtu na maarifa yake na atakavyoichukulia elimu yake mkuu na tunatofautiana katika kupokea ndio maana kuna washiya,waismailia,wasunni,wafaradhi,sunni wa jamaa na wasufi n.k katika uislam,

Hivyo hivyo na wakristo kuna wasabato,wakatoriki na wengineo watakao tajwa

Hivyo kila mtu ana fact zake, unafikiri kwenye vitabu vya dini kuna sehemu iliandikwa ukimwi? Televisheni? Sub woofer? Nafikiri hicho kitabu kingekuwa na urefu wa mwanzo hadi mwisho wa dunia wafahamu kwamba hata vitabu kuna taurati,zaburi,injili quran? Unadhani ni kwa nini?

na hivi tunavyozidi kuhitilafiana ndio kunatimiza utukufu wa mwenyezi mungu sasa kama unaona yangu hayakufai mkuu pitia ya wengine yatakufaa,

Sio lazima kila thread uchangie pita kunakokufaa ningetaka hij ijadiliwe kidini ningeishusha kwenye thread za dini ndio maana tukimwaga mtama kwenye kuku wengi wenye roho mbaya mnachukia kwa sababu ya ubinafsi sasa hizi forums zina code anzisha thread kwenye jukwaa la dini na useme waislamu dhehebu fulani msimsome rakims anawapotosha utakuwa umefanya akili safi.. kuliko kunipotezea muda kukujibu kwa marefu wakati ningekuwa nimeendelea na kipengele kingine,

Mungu alotumia hili neno (fadhakir)tukumbushane na wew kma ulivyosema wew ni muislam bas sio vbaya kukumbushana katika kufuata njia sahihi katika dini kma mungu alivyoambrisha,hakuna mkamilifu isipokua Allah ndio maana tunakosea mim nakufahamisha tu au tunafahamishana kwa ujumla lau kma unaona nakuvunjia malengo yake bas Allah ni mjuzi wa yote.
 
Haya jazaka llahu kheir lakini sio lazima kila elimu ukiijua lazima uitumie au uifuate hiki ndicho ninachosema kila siku, na pia kitu unachokifahamu unaweza ukafundisha watu wakakijua kikawasaidia kukwepa japo hapa majina haya sio uchawi wala shirki, isipokuwa tu kwa kuwa ni kitu kigeni hujakifahamu utaona ajabu,

Wewe jamaa uko na shida, mwaka wa kama wa nane na ujingaujinga wako..! Peleka huko majini yenu, jina pekee tulilopewa lipitalo kila jina ni YESU huyo mtume mpende neema za Allah atawaangamiza.
 
Majina hayo ni ya kawaida sana ila mpaka uwe mwanga ndo unayatumia ngoja niwaletee
 
Aleykum Salam, mkuu kuyapata unaweza kuyapata ukiyatafuta, mimi siyagawi,

Rakims

Rakims nitakuja kwenye blog yako ili niyapate. Kama utayaweka huko. Ila kwa kuwa umeamua kuanzisha huu uzi ungeyaweka tuu. Maana ni wachache watakaopata faida usipoyaweka ndugu.
 
Wew unajua lakini hatuoni muujiza wakutisha kwa nn?
 
binadamu kiumbe Wa ajabu sana.yaani kila mtu mwenye uelewa Wa ziada ni mpiga ramli. aya wewe mcha Mungu una lolote unaweza kutueleza kuhusu mada aliyoleta rakims
mambo yote yameandikwa ktk biblia na imejitosheleza..hayo mengine uyo rakims anajua mwenyewe anapoyatoa na malengo yake anajua mwenyewe..hujakatazwa kuyafuata, Ila nimekupa tahadhari tu kama ndugu yangu usijepotezwa afu uje kukosa wa kumlaumu...kuwa macho mkuu
 
Wewe jamaa uko na shida, mwaka wa kama wa nane na ujingaujinga wako..! Peleka huko majini yenu, jina pekee tulilopewa lipitalo kila jina ni YESU huyo mtume mpende neema za Allah atawaangamiza.
Pole
 
Uzuri wa JF hukosi watu hopeless wa kukuunga mkono. Naona umewataka mapema wa subscribe.... For what? You know yourself. Elimu yako waambie ni kwa mujibu wa imani gani. Waweke sawa wakiaa usawa unaofaa...wagonge
 
Kawaida ya jambo usilolijua unatakiwa usubiri ulifahamu baada ya kulifahamu ndio unaweka judgement kuwa hili lipo upande gani not to rush,
 
Back
Top Bottom