Faida za Marekani katika dunia yetu

Mlinzi Mkuu wa Wakiristo duniani kote
 
Kama dunia ingetawaliwa na nchi kama china,urusi na korea ya kazkazini basi hata dini zisingekuwepo duniani.
Kote huko kuna dini sijui hata unaongea nini ?.

Huna akili
 
Imefanya dunia iwe na amani. Dunia isiyo na kiranja au yenye viranja wengi ni hatari sana. Zamani haikuwa rahisi mwanaume azaliwe na azeeke bila kupigana vita.
Ni Kweli kabisa. Hata Libya na Iraq kuna Amani Sana sasa hivi.
 
Mlinzi Mkuu wa Wakiristo duniani kote
Hapana. Sema tu ni kiboko cha magaidi (ambao ktk nchi zenye waislamu wachache wanasema wanatetea dini ya allah, na ktk nchi za kiislamu wanauana waislamu kwa waislamu kila mmoja akitaja jina la mungu wao) lakini siyo mlinzi wa wakristo duniani au mimi sijui wakiristo ni akina nani mkuu.
 
Mkuuu uongozi ni GREECE kwa kina Aristotle na ma thinkers wakubwa sema wale ma bwana awasemwi tu wanaakili sana
 
Ngoma iko hapa πŸ‘‡ πŸ‘‡ πŸ‘‡ πŸ‘‡

List of American Inventions and Discoveries
 
Marekani imejenga model ya nchi ambayo mtu yeyote anaweza kuwa yeyote, madaraja yapo ila hayaheshimiwi.

Si kama Uingereza au India ambako ukizaliwa tu unajulikana sehemu yako ni wapi na hutakiwi kuondoka hapo.
Musk alikuja hapo fala hana lolote leo ni #1! Haya kwenu wakuu kesho tuseme #1 Kiranga mwenye asili ya Afrika Mashariki.
 
Musk alikuja hapo fala hana lolote leo ni #1! Haya kwenu wakuu kesho tuseme #1 Kiranga mwenye asili ya Afrika Mashariki.
Siyo rahisi kihivyo, bado Marekani kuna white privilege.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…