cassavaleaves
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 1,799
- 2,237
Fafanua
Sio kila mtuKila mtu ndoto yake ni kufika nchi ya ahadi- Marekani. Marais wa nchi zingine wanacheza green card lottery 😅
Sio kila mtu
Mimi sina na sitawahi kua na ndoto hizo Mimi ndoto zangu pepo tukufu ya Allah, hapo nitakwenda Kama nitahitajika sababu maalum yaan ni Kama ambavyo nakwenda mwnz,,dodoma au sehemu yeyote nikiwa nashida iliyonipeleka Huko. Hayo maziwa na asali ya dunian wew ukiyafuata inatoshaKila mtu duniani pamoja na wewe ndoto yake ni kufika nchi ya maziwa na asali USA.
Mimi sina na sitawahi kua na ndoto hizo Mimi ndoto zangu pepo tukufu ya Allah, hapo nitakwenda Kama nitahitajika sababu maalum yaan ni Kama ambavyo nakwenda mwnz,,dodoma au sehemu yeyote nikiwa nashida iliyonipeleka Huko. Hayo maziwa na asali ya dunian wew ukiyafuata inatosha
Pepo Yako, si kila mtu anapenda starehe Mimi nakuzunguka kwangu hua sina amani na utulivu mpaka nikiwa Tanzania Tena isiwe dar nikiwa na maombi yangu siku zote nisifie nje ya Viunga vya TzKiwanja ndo peponi.