Faida za Marekani katika dunia yetu

Faida za Marekani katika dunia yetu

Kila mtu duniani pamoja na wewe ndoto yake ni kufika nchi ya maziwa na asali USA.
Mimi sina na sitawahi kua na ndoto hizo Mimi ndoto zangu pepo tukufu ya Allah, hapo nitakwenda Kama nitahitajika sababu maalum yaan ni Kama ambavyo nakwenda mwnz,,dodoma au sehemu yeyote nikiwa nashida iliyonipeleka Huko. Hayo maziwa na asali ya dunian wew ukiyafuata inatosha
 
Faida ni nyingi naomba Kuongezea
8.Anakikisha Utawala wa Sheria Duniani Kote Unafuatwa Hususan kwa Viongozi wote wa Dunia hasa viongozi Mabazazi wa Kiafrika wanaojimilikisha Urais

9.Kudhibiti UGAIDI Duniani hasa kwa Washirika wote wa Wafia Dini kwa Kigezo cha Bikra Peponi

Happy New Year 2025.
 
Mimi sina na sitawahi kua na ndoto hizo Mimi ndoto zangu pepo tukufu ya Allah, hapo nitakwenda Kama nitahitajika sababu maalum yaan ni Kama ambavyo nakwenda mwnz,,dodoma au sehemu yeyote nikiwa nashida iliyonipeleka Huko. Hayo maziwa na asali ya dunian wew ukiyafuata inatosha

Kiwanja ndo peponi.
 
Kiwanja ndo peponi.
Pepo Yako, si kila mtu anapenda starehe Mimi nakuzunguka kwangu hua sina amani na utulivu mpaka nikiwa Tanzania Tena isiwe dar nikiwa na maombi yangu siku zote nisifie nje ya Viunga vya Tz
 
Back
Top Bottom