Faida za mtu anaekupenda wakati wewe humpendi

Faida za mtu anaekupenda wakati wewe humpendi

lee Vladimir cleef

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
9,571
Reaction score
35,485
Akupendae humpendi,umpendae hakupendi.

Ni vile watu kutokujua tu,ukitaka penzi la kweli mkubali mtu anaekupenda,kwa sababu atakua mtiifu,mvumilivu,msikivu kwako na ,anayekujali.

Atakupa penzi lote kwa sababu ana mapenzi ya kweli.Haijalishi hata Kama wewe humpendi,jizoeshe kuwa nae tu.
Lakini kwa sababu sisi Ni vipofu wa Mambo ya mbeleni,tunalazimishaga kuwapenda wasiotupenda kwa sababu za kijinga tu.

Ke wakiona mtu handsome,ana hela,maarufu wanamkubali haraka Sana hata Kama huyo handsome hampendi ke,Tena ke ndo huanza kujibamiza kwa jamaa,lakini wakati huo Kuna mtu wa kawaida,Hana hela nyingi ke atamkataa.
Sasa kuumizwa na kutendwa kikianza na majuto huanza.

Pia Hali hii iko na kwetu Me, tunatamani ke mkali Ana kila Aina ya sifa,unakuta ke hampendi huyo jamaa,me atafanya kila mbinu na vishawishi,pesa na kila hila atampata.

Baada ya mda malalamiko ya kutendwa kusalitiwa na kila Aina ya maumivu.
Yote haya shida Ni kuwaacha wanaotupenda na kuwachukua wasiotupenda,mwisho wake kutendwa,kuteswa na kuumizwa.
 
Sawa mkuu ila kusoma hii mada yako kuanzia neno ya kwanza hadi la mwisho ni changamoto. Imeniletea njaa. Uandishi ni mbovu.
 
Sasa unatakiwa utufundishe sisi wanaume, tutamjuaje mwanamke anaetupenda ? Maana wanawake hawatongozagi.
 
Sasa unatakiwa utufundishe sisi wanaume, tutamjuaje mwanamke anaetupenda ? Maana wanawake hawatongozagi.
Ukiwa chuoni,kazini au mtaani Kama unahitaji mpenzi au mke.
Moja, angalia kwanza kwa macho Kama unaona ana vigezo vya kuwa mpenzi au mke,mtongoze bila kutumia NGUVU kwa mda mfupi.
Akikukubali huyo anakupenda.
Mbili,ikitokea msichana akajito gozesha ama kujileta kwako huyo anakupenda.mkubali.
Angalizo: ufuatiliaji wa Tabia Ni muhimu.
 
ujumbe mzuri sana mzee

hakika kama ningekuwa hii jamii forums ni yangu Leo kuna cheo ningekupa mzee niombe dua tu ndani ya miaka 3 ntakuwa na mtandao maarufu Africa

lazima ntakuweka sehemu ya mipango coz kukupata ni rahisi sana mzee
 
Ukipendwa penda, usije kupenda usipendwe.
 
Back
Top Bottom