Faida za muungano wa Tanganyika na Zanzibar ni zipi?

Tanganyika inapata kutumia bandari , zanzibar wakichukua mikao yao kama Dar, Tanga , Mtwara , Lindi mtapata wapi bandari kubwa?
 
Muungano wa Tanganyika na Zanzibar una faida zipi?

Isije ikawa tunapinga tu jambo lenye faida/manufaa.
ni pamoja na amani, utulivu na uhuru unaoenjoy hivi sasa hapo ulipo, licha ya kua ni mfutata mkumbo mvivu mno wa kufikiri na wa kazi
 
Muungano wa Tanganyika na Zanzibar una faida zipi?

Isije ikawa tunapinga tu jambo lenye faida/manufaa.
Kama vile wewe mbara huwezi junua arshi zanzibar na mzanzibar anaruhusiwa kukunua ardhi bara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…