Faida za muungano wa Tanganyika na Zanzibar ni zipi?

Waasisi wasiotaka muungano wengi wamezaliwa wameukuta ushaungana huo muungano

Wengi waliokuwepo kipindi icho ni walikubali na kuupenda muungano

Na ilikuwa vyema sanaa huu muungano kutenganishwa tu kipindi ulipounganishwa sio sasa

Supu ya mbwa unainywa ikiwa ya moto, sasa hivi imepoa na imeganda utakuja kunywa futa ligande tumboni ufe
 
Ndio maana ni muhimu kueleweshwa faida za muungano ni zipi.
 
Muungano wa Tanganyika na Zanzibar una faida zipi?

Isije ikawa tunapinga tu jambo lenye faida/manufaa.
ZNZ bila Muungano haipo maana nao Pemba watajitoa. Issue ya Muungano ni existential risk both kwa Bara na visiwani. Zanzibar akiumwa mafua lazima Bara tupige chafya. Bara wakikubali muungano ufe, ni a very short sighted political move. Visiwani wakikubali, ni suicide kwao.
 
Muungano ni existential risk kwa bara(Tanganyika) kivipi?

Unamaanisha nini ukisema Zanzibar akiumwa mafua sisi lazima tupige chafya?
 
Kuchanganya damu ili tuzalishe watoto wasio na vichogo. Alisema mpemba mmoja
 
Muungano ni existential risk kwa bara(Tanganyika) kivipi?

Unamaanisha nini ukisema Zanzibar akiumwa mafua sisi lazima tupige chafya?
Atatuzalishia wakimbizi kama wa huko Nyarugusu, Benaco nk
 
Sababu dhaifu sana isiyo na mashiko yoyote. Kama tunaogopa hivyo wakimbizi kutoka nchi yenye watu milioni tatu basi tungeungana na Burundi, DRC na Rwanda.

Halafu wakimbizi wanakuaje existential risk kwa Tanzania? Mbona hao mamilioni tuliowahi kuwapokea hawajawahi kuwa existential risk??
 
Hata Wales, Scotland na Northern Ireland wanatamani kuwa nje ya United Kingdom. Lakini kwa sababu za kimkakati bado hawajaruhusiwa.

USA ni muungano wa states 51, haukuja kwa mkutano wala kwa hiari bali kuna vita vilipiganwa. Waache tu Wazanzibari chini ya muungano kwa sababu za kimkakati. Nyie kaeni tu kujadili kupunguza kero za muungano
 
Kwa nini Zanzibar ituletee wakimbizi wakati hakuna vita wala njaa?
Wakiwa peke yao kukatana mapanga ni dakika sufuri. Kuna wanaomtaka Sultan wa Oman aendelee kuwa ndiye mfalme wao
 
Hawakuwa wajinga walio anzisha ama kupata wazo la muungano, labda makosa ya kibinadamu yalifanya muungano usiwe kwenye msingi mzuri.

Leo hii mawanda ya ufahamu , maarifa, uchambuzi , upeo nk wa wananchi wengi yamepanuka sana ndio maana makosa yanayo tokana na huu muungano yamekuwa mengi kunakosababisha muungano kukosa tija.
 
Hata Wales, Scotland na Northern Ireland wanatamani kuwa nje ya United Kingdom. Lakini kwa sababu za kimkakati bado hawajaruhusiwa.

USA ni muungano wa states 51, haukuja kwa mkutano wala kwa hiari bali kuna vita vilipiganwa. Waache tu Wazanzibari chini ya muungano kwa sababu za kimkakati. Nyie kaeni tu kujadili kupunguza kero za muungano
Hii tabia ya unafiki wa CCM inakera sana, mkiambiwa mzingatie demokrasia na msikandamize upinzani mnawaita ni mashoga, mkiulizwa muungano mnakimbilia kutoa mifano yao kama rejea.

Hata hivyo ni vyema ukajikita katika mambo unayofahamu, mambo mengine yanazidi uwezo wako. Wales, Scotland na Northern Ireland kuunda UK ni matokeo ya upanuzi wa himaya uliokuwa unafanywa na wafalme, sio muungano kama wa Tanganyika na Zanzibar, pamoja na hayo leo hii Uingereza inaruhusu referendum kwa maeneo yanayofikiri hayataki kuendelea kuwa sehemu ya UK. Pia US ni matokeo ya hiyari ya majimbo ambayo hayakuwa na serikali zao kamili kuungana na kununua maeneo mengine kutengeneza taifa moja na serikali moja.
 
Back
Top Bottom