moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Faida za Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ni:
1. Wazanzibari watapata fursa ya kupata ardhi ya kilimo Morogoro, Tanga, Ruvuma nk.
2. Wazanzibar watapata nafasi za kazi, vyeo na madaraka kuanzia ngazi ya Baraza la Mawaziri mpaka ngazi ya Mtendaji Kijiji kwenye Serikali ya Muungano.
3. Wanzaibar watapata nafasi ya kumiliki vitalu vya uwindaji kwenye Game Reserve za Tanganyika
4. Wazanzibar watapata nafasi za kuchimba aina mbalimbali za madini zilizosheheni kwenye ardhi ya Tanganyika.
5. Muungano unampa nafasi mzanzibari kuvuna miti na kusafirisha magogo toka wilaya za Tanganyika, Mlele, Sikonge, Kaliua, Urambo , Ulanga na kuvusha mpaka uchina.
6. Muungano unampa nafasi "Chogo" kutoka Tanganyika awapo Zanzibar kumiliki shati na suruali. Na akitoka huko Zanzibar hata kama amezawadiwa Kigari kibovu bovu au luninga akifika nacho bara lazima alipie kodi, ushuru, tozo nk.