Ungewauliza Wazanzibari.Muungano wa Tanganyika na Zanzibar una faida zipi?
Isije ikawa tunapinga tu jambo lenye faida/manufaa.
Ni zaidi ya hapo!Faida wanayo Wazanzibar ya wao kuwa rais wa Tanganyika ilhali Mtanganyika hawezi kuwa rais wa Zanzibar
Je Muungano haujasababisha kusahaulika na kudumaa kwa uwekezaji wa utalii wa mikoa ya pwani ya Tanganyika?Mhm, kidogo naona kwenye utalii, imefungulia fursa mbalimbali za utalii kwa makampuni binafsi na hata watu binafsi.
Na kwa pamoja inatengeneza lidude likubwa sana kwenye utalii kama Tanzania.
Bwashee naona kama utalii wa pwani na wakisiwani una vibe tofautiJe Muungano haujasababisha kusahaulika na kudumaa kwa uwekezaji wa utalii wa mikoa ya pwani ya Tanganyika?
1.Muungano wa Tanganyika na Zanzibar una faida zipi?
Isije ikawa tunapinga tu jambo lenye faida/manufaa.
Muungano ni kwa ajili ya CCM.Muungano wa Tanganyika na Zanzibar una faida zipi?
Isije ikawa tunapinga tu jambo lenye faida/manufaa.
Hakuna tofauti yoyote kubwa, Zanzibar watalii wanafuata beach na historia ya utumwa. Vyote vipo Tanganyika, kinachokosekana ni uwekezaji tu katika beach, maeneo ya kihistoria, miondombinu na marketing.Bwashee naona kama utalii wa pwani na wakisiwani una vibe tofauti
Mikoa yote uliyotaja ipo TanganyikaTanganyika inapata kutumia bandari , zanzibar wakichukua mikao yao kama Dar, Tanga , Mtwara , Lindi mtapata wapi bandari kubwa?
SawaHakuna tofauti yoyote kubwa, Zanzibar watalii wanafuata beach na historia ya utumwa. Vyote vipo Tanganyika, kinachokosekana ni uwekezaji tu katika beach, maeneo ya kihistoria, miondombinu na marketing.
Kwamba mikoa uliyotaja ni sehemu ya Zanzibar?Tanganyika inapata kutumia bandari , zanzibar wakichukua mikao yao kama Dar, Tanga , Mtwara , Lindi mtapata wapi bandari kubwa?
Toka zako hapa . Wananchi wanajijua .Mikoa yote uliyotaja ipo Tanganyika
Jibu au swali?Kwamba mikoa uliyotaja ni sehemu ya Zanzibar?
Huna akiliToka zako hapa . Wananchi wanajijua .
Pwani yote kuanzia Tanga hadi Mtwara unasemaje ni finyu?Faidq moja kubwa ipo kwenye umiliki wa pamoja wa eneo la bahari. Kunhekuwa na utata mwingi sana, na tunhekuwa na enwo finyu la bahari.