rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 18,360
- 26,244
tutawakung'uta na kuifanya Zanzibar kuwa mkoa wa TanganyikaTanganyika inapata kutumia bandari , zanzibar wakichukua mikao yao kama Dar, Tanga , Mtwara , Lindi mtapata wapi bandari kubwa?
Sawa msomiPwani yote kuanzia Tanga hadi Mtwara unasemaje ni finyu?
Hivi nyinyi darasani mlikuwa mnafundishwa nini? Hamkusoma mipaka ya Tanganyika wakati inapata uhuru mwaka 1961?
Umejibu kinyonge, ila mimi sio sababu ya wewe kuwa ignorant juu ya mipaka ya Tanganyika. SorrySawa msomi
Sawa msomi.Umejibu kinyonge, ila mimi sio sababu ya wewe kuwa ignorant juu ya mipaka ya Tanganyika. Sorry
Ndio maana ni muhimu kueleweshwa faida za muungano ni zipi.Waasisi wasiotaka muungano wengi wamezaliwa wameukuta ushaungana huo muungano
Wengi waliokuwepo kipindi icho ni walikubali na kuupenda muungano
Na ilikuwa vyema sanaa huu muungano kutenganishwa tu kipindi ulipounganishwa sio sasa
Supu ya mbwa unainywa ikiwa ya moto, sasa hivi imepoa na imeganda utakuja kunywa futa ligande tumboni ufe
ZNZ bila Muungano haipo maana nao Pemba watajitoa. Issue ya Muungano ni existential risk both kwa Bara na visiwani. Zanzibar akiumwa mafua lazima Bara tupige chafya. Bara wakikubali muungano ufe, ni a very short sighted political move. Visiwani wakikubali, ni suicide kwao.Muungano wa Tanganyika na Zanzibar una faida zipi?
Isije ikawa tunapinga tu jambo lenye faida/manufaa.
Muungano ni existential risk kwa bara(Tanganyika) kivipi?ZNZ bila Muungano haipo maana nao Pemba watajitoa. Issue ya Muungano ni existential risk both kwa Bara na visiwani. Zanzibar akiumwa mafua lazima Bara tupige chafya. Bara wakikubali muungano ufe, ni a very short sighted political move. Visiwani wakikubali, ni suicide kwao.
Atatuzalishia wakimbizi kama wa huko Nyarugusu, Benaco nkMuungano ni existential risk kwa bara(Tanganyika) kivipi?
Unamaanisha nini ukisema Zanzibar akiumwa mafua sisi lazima tupige chafya?
Sababu dhaifu sana isiyo na mashiko yoyote. Kama tunaogopa hivyo wakimbizi kutoka nchi yenye watu milioni tatu basi tungeungana na Burundi, DRC na Rwanda.Atatuzalishia wakimbizi kama wa huko Nyarugusu, Benaco nk
Kwa nini Zanzibar ituletee wakimbizi wakati hakuna vita wala njaa?Atatuzalishia wakimbizi kama wa huko Nyarugusu, Benaco nk
Hata Wales, Scotland na Northern Ireland wanatamani kuwa nje ya United Kingdom. Lakini kwa sababu za kimkakati bado hawajaruhusiwa.Sababu dhaifu sana isiyo na mashiko yoyote. Kama tunaogopa hivyo wakimbizi kutoka nchi yenye watu milioni tatu basi tungeungana na Burundi, DRC na Rwanda.
Halafu wakimbizi wanakuaje existential risk kwa Tanzania? Mbona hao mamilioni tuliowahi kuwapokea hawajawahi kuwa existential risk??
Wakiwa peke yao kukatana mapanga ni dakika sufuri. Kuna wanaomtaka Sultan wa Oman aendelee kuwa ndiye mfalme waoKwa nini Zanzibar ituletee wakimbizi wakati hakuna vita wala njaa?
Hii tabia ya unafiki wa CCM inakera sana, mkiambiwa mzingatie demokrasia na msikandamize upinzani mnawaita ni mashoga, mkiulizwa muungano mnakimbilia kutoa mifano yao kama rejea.Hata Wales, Scotland na Northern Ireland wanatamani kuwa nje ya United Kingdom. Lakini kwa sababu za kimkakati bado hawajaruhusiwa.
USA ni muungano wa states 51, haukuja kwa mkutano wala kwa hiari bali kuna vita vilipiganwa. Waache tu Wazanzibari chini ya muungano kwa sababu za kimkakati. Nyie kaeni tu kujadili kupunguza kero za muungano