Analitangazia parachichi
Hii picha itakuwa kapiga wakati wa valentine.
We mmbea sana
Sa umbea wangu nini? Uchokozi tu ukooo
Tunda/mbegu yake ukisaga
Ina vitamin C ya kutosha
- Nzuri sana kwa kufanya scrubing ya uso
- Hutumika kama kiungo cha chai
- Hiyo hiyo mbegu ikisagwa na kuchanganya na ubuyu mweupe uliolowekwa....ikachunjwa na kutiwa sukari ni juice nzuri sana
Staki kuambiwa kwanza nmesha mpata mupenzi mwingine.
Munkari ndo parachichi? lol... :A S 13:
Itakua wewe unaijua faida muhimu zaidi ya yote