Faida za Parachichi katika mwili wa Binadamu

Faida za Parachichi katika mwili wa Binadamu

hahahaaa!! sio mimi tu, muulize MziziMkavu ama Dr.Mo, parachichi ni zaidi ya ule ukijani,

likioshwa vizuri, likamenywa kwa nidhamu,

likatengwa kwenye chombo safi..

likaliwa pole poleeee bila stress.. niamini, hakutakuwa tena na upungufu wa nguvu za kugegdana!

Basi tumuulize Munkari analitumiaje?
 
Last edited by a moderator:
hahahaaa!! sio mimi tu, muulize MziziMkavu ama Dr.Mo, parachichi ni zaidi ya ule ukijani,

likioshwa vizuri, likamenywa kwa nidhamu,

likatengwa kwenye chombo safi..

likaliwa pole poleeee bila stress.. niamini, hakutakuwa tena na upungufu wa nguvu za kugegdana!

Ni kweli mkuu excel...ni kati ya matunda yenye vitamin na protein kwa pamoja...matunda mengi unakuta yana vitamin nyingi lakini protein ndogo
 
Ni kweli mkuu excel...ni kati ya matunda yenye vitamin na protein kwa pamoja...matunda mengi unakuta yana vitamin nyingi lakini protein ndogo

ahsante sana daktari! you deserve accredition... ngoja kukuche kwanza..

sasa doctor, hivi hili suala la parachichi kuhusishwa na kupandisha nyege kwa mwanaume, inakuwaje hapa mkuu?

naomba inner elaborations tafadhali.. hapa ni lazima liwe kwa boys and girls ama boys tu ndio wanakuwa wanafaidika?
 
naambiwa hapa eti ukila sana unakuwa na uwezo mkubwa kiakili sasa mim nimekula sana kipindi nasoma Kayuki-Tukuyu kwa muda wa miaka mi4 mfululizo lakin bado kichwa kizito
 
Back
Top Bottom