Faida za Parachichi katika mwili wa Binadamu


Basi tumuulize Munkari analitumiaje?
 
Last edited by a moderator:

Ni kweli mkuu excel...ni kati ya matunda yenye vitamin na protein kwa pamoja...matunda mengi unakuta yana vitamin nyingi lakini protein ndogo
 
Ni kweli mkuu excel...ni kati ya matunda yenye vitamin na protein kwa pamoja...matunda mengi unakuta yana vitamin nyingi lakini protein ndogo

ahsante sana daktari! you deserve accredition... ngoja kukuche kwanza..

sasa doctor, hivi hili suala la parachichi kuhusishwa na kupandisha nyege kwa mwanaume, inakuwaje hapa mkuu?

naomba inner elaborations tafadhali.. hapa ni lazima liwe kwa boys and girls ama boys tu ndio wanakuwa wanafaidika?
 
naambiwa hapa eti ukila sana unakuwa na uwezo mkubwa kiakili sasa mim nimekula sana kipindi nasoma Kayuki-Tukuyu kwa muda wa miaka mi4 mfululizo lakin bado kichwa kizito
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…