Faida za Strawberry Kiafya

Faida za Strawberry Kiafya

Miss Zomboko

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Posts
4,599
Reaction score
9,532
FAIDA ZA STRAWBERRY MWILINI NI PAMOJA NA;

1. Husaidia katika kuimarisha uwezo wa ubongo katika kuweka na kutunza kumbukumbu,hivo kumfanya mtu kuwa na kumbukumbu zaidi

2. Matunda haya yana kiwango kikubwa cha Madini aina ya Zinc, hivo kusaidia katika maswala mazima ya uzazi kwa mwanaume

3. Matunda haya pia husaidia katika kuimarisha afya ya Ngozi

4. Strawberry husaidia sana hata kwa wagonjwa wa Presha aina zote mbili (presha ya kupanda na kushuka)

5. Strawberry husaidia pia katika kuimarisha afya ya mifupa

6. Pia matunda ya Strawberry yana madini mazuri ambayo husaidia kwa kiwango kikibwa katika ukuaji wa mtoto tumboni,hivo yanafaa sana kwa mama Mjamzito.

7. Strawberry husaidia pia katika kuimarisha kinga ya mwili dhidi ya magonjwa

8. Matunda haya ya strawberry husaidia pia katika kuweka vizuri mzunguko mzima wa Damu mwilini

9. Strawberry pia ni kinga dhidi ya kutokea kwa kansa mbali mbali katika mwili wa binadamu

10. Matumizi ya Strawberry ni njia nzuri ya kusaidia katika kupunguza uzito kwa watu wenye uzito kupita kiasi

11. Kwa mtu ambaye kaumia au ana kidonda,matumizi ya strawberry husaidia vidonda kupona kwa haraka.
 
Asante kwa taarifa mkuu

Hapo namba 2 tunakoelekea yataanza kuadimika mtaani
 
Back
Top Bottom