Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,587
Ndege wanakula sana pilipili na mbegu zake....mipilipili porini kazi yao.Duniani kila siku masharti yanaongezeka.
Sasa itakuwa pilipili hoho hiyoKuanzia leo ntakuwa natoa mbegu nje.....
Hehehehehee hii sentensi hadi nimejistukia. Ila lugha tamuuuu I mean kiswahili......
Mumeo hawezi kubali utoe mbegu nje ww....Kuanzia leo ntakuwa natoa mbegu nje.....
Hehehehehee hii sentensi hadi nimejistukia. Ila lugha tamuuuu I mean kiswahili......
Sijasema unatafuta mume?
nimeshangaa kutokuwa nae!!
hiyo charming lady nimetumia kama sifa kuku identity
na sio kwamba nimekuchanganya na charming lady wa JF
hop u get my point
Muwasho ukijumuisha na kukohoa kidogo .Sasa utamu wa pilipili hapo utakuwa ni nini !