Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,587
Nazungumzia wale wapenda kachumbari na hata tu wale wanaopenda kukatia au kulumangia pilipili nzima nzima kwenye chakula.Ni hatari sana!
Why?
Mbegu ya pilipili huwa haimeng'enywi kirahisi.Ukila inaenda kujishikiza kwenye utumbo na kuukwangua na kukusababishia vidonda vya tumbo. Chache sana huambatana na haja kubwa!
Maeneo ya vijijini huko kando ya mito au shambani au porini unakuta mpilipili umeota.Umeshawahi kujiuliza kwa nini?! Kuna mtu alijisaidia mbegu zikatoka nzima nzima zikajiotea huko ardhini.
Epuka kula pilipili na mbegu zake.