Faida za ulaji wa pilipili kwa mwili wa binadamu

Ok nimekupata.
 
Pilipili usioila yakuwashiani? Kama huo utafiti wako ungekuwa kweli,, Wahindi tusingekuwa nao!!
 
Pilipili inautamu wake bana tena ule ikuwashe washe kidg LOL
 
Hivi punde, mkuu!
Hayo uliyoyasema si kwa pili pili tu, unapokua na tatizo katika mfumo wa mmeng'enyo hata unywe uji utatoka kama ulivo unywa.

Ni kutafuta tiba,unapona fresh. Otherwise uwe na allergy nayo pilipili kama pilipili.

Sema kwa ambao wana vidonda vya tumbo inawasumbua na kinachowaumiza si mbegu ni ile juisi ya pilipili na ilichobeba(inachoma).
 
Pili pili n moja ya chakula kinachozuia kuzeeka haraka...kuzuia muonekano wa uzee
 
Mmmhh mbona sijawahi kuona kwenye causes of ulcers hamna mahali nilipoona pilipili ni sababu ..ila tu ni moja ya masharti ya mwenye ulcers kutokula pilipili. ..ila inawezekana ikawa kweli!!! Lakini....tulioanza kula pilipili tukiwa wadogo basi tumbo litakuwa limeoza sasa uwii!!
 
Jamani tuache kueneza uongo. Hakuna ushahidi wowote wa kisayansi.
 
Mi mtoto wangu wa miaka 4 anakula pilipili duniani hakuna.nataka nimpeleke hospital wajue ana tatizo gani??maana bila pilipili na limao hali chakula kabisa!kingine nilikuta kanywa jon walker yangu ilibaki.daahh ana miaka 4 yuko hivi.naombeni msaada mwenye uelewa
 
Hawa wanaongea Myth tu. Vidonda vya tumbo utafanya ukiwa unakaa na njaa mda mrefu, mawazo mengi, kula vitu vikali asubuhi unapoamka, usisingizie pilipili.

Pili pili ni nzuri kwa Afya yako tena sana.

Nashauri watu wawe wanakula pilipili kwa wingi.

5 health benefits of peppers
 
Je Mandela, Hittler, Gadafi, Bob Marley, Bruce Lee, Mr Ebbo, Nyerere hao wote uhai wao uliondolewa kwa mbegu za pilipili!!!!
Wahindi na Wachina wanatafuna pilipili ila hakuna malalamiko ya vidonda vya tumbo.

Ungesema hivi mbegu za pilipili ni hatar kwa African hasa sisi weusi
 
Kitu kama hukijui hakiwezi kukudhuru...ukijua tu ndo madhara yaja ngoja nipite kama sijaona hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…