Faida za ulaji wa pilipili kwa mwili wa binadamu

Nlisoma somewhere kuwa inaweza kusababisha Kansa ya koo
 
Hivi mtu kama huna ufahamu na jambo ukibaki kimya......na kungoja michango ya wenye weredi unapungukiwa na nini....!!!?

Mtoa mada ameuliza swali litakalowafaidisha wengi....maana nyingine amewasemea watu wengine.......

Kiuungwana tu kama unajua huna weredi na mada inayohitaji taaluma....kuwa tu mstaarabu kwa kukaa pembeni huku ukifaidika na darasa kutoka kwa wenye weredi......

Word is enough for the wise
Best comment so far !waraibu wa pili pili tuko wengi humu mpaka tunaagizia za aina tofauti kutoka india malaysia mauritius kutafuta taste tofauti!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Natumia sana pilipili, nilichogundua ni kwamba kila ninapoto.mba mwanamke nikimkojolea shahawa anasema ni za moto sana zinachoma wakati zinapita kutoka ubooni kuingia kumani
 
Hivi mtu kama huna ufahamu na jambo ukibaki kimya......na kungoja michango ya wenye weredi unapungukiwa na nini....!!!?

Mtoa mada ameuliza swali litakalowafaidisha wengi....maana nyingine amewasemea watu wengine.......

Kiuungwana tu kama unajua huna weredi na mada inayohitaji taaluma....kuwa tu mstaarabu kwa kukaa pembeni huku ukifaidika na darasa kutoka kwa wenye weredi......

Word is enough for the wise
Weledi mzee
 
Life is too short use protection..sio sifaa walio kua wanaona sifa walitangulia
 
Muongozo mzur sana boss

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama ndivyo huko india wanakokunywa hadi juisi ya pilipili makoo yao si yangeishakwisha kwa kansa? Hakuna kanjibhai humu atuelimishe?
Ndo maana nkasema nlisoma somewhere mii mwenyewe cjui
 
Mimi ni mpenzi sana wa pilipili lkn sasa nikahis lbda inamadhara maana nikila naisikia hadi kisogon inawasha haiwez haribu ubongo kweli?
 
Sidhani km ina madhara!
Lakini nimekuwa mtumiaji kitambo sana!lakini pilipili nzuri usitumie pilpl mbuzi tumia zile refu km bamia.
Pilpl mbuz ni modified genetic sio organic
 
Back
Top Bottom