Faida za UMASKINI

Ila kuna wanaosema umasikini unakaribiana na ukafiri,hii kauli sijaielewaga inamaana gani,mwenye kujua tafadhali,naomba anijuze.
 
Kama una faida kwa nini akiitwa masikini anakasirika hata kama ni masikini
 
Faida ya kuwa masikini
•unatulia na ndoa yako.
•ajari za barabarani utazikwepa kwa 50% kwasabu husafiri safiri
•Hypertension na correstral utakufa huzifaham
•utakufa kwa kukosa nauli na hela ya matibabu
 
Faida ya kuwa masikini
•unatulia na ndoa yako.
•ajari za barabarani utazikwepa kwa 50% kwasabu husafiri safiri
•Hypertension na correstral utakufa huzifaham
•utakufa kwa kukosa nauli na hela ya matibabu
Sawa mzee kikwava
 
Ni kweli kabisa, huwezi kusikia masikini kapata depression, obesity, cholesterol etc .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…